Yu Wapi Superman?

Yu Wapi Superman?

Mkuu Maria Roza kulikoni?

Mimi mbona niko Mkuu? tuliensesha shindano hapa baada ya Uchaguzi Mkuu la kumtafuta JF Man and Woman of the Year ambavyo walishinda Nyani Ngabu; Acid na Regia.

Kwa sasa niko kajificheni natafakari maisha na Kujivua Gamba.

Respect.

Mhh bas nilipitwa na hilo shindano...
Kajificheni unafanya nini naruhusiwa kuja nami nijifiche :behindsofa:
 
Mhh bas nilipitwa na hilo shindano...
Kajificheni unafanya nini naruhusiwa kuja nami nijifiche :behindsofa:

MR niaje Mkuu? Mbona unataka kunitafutia kesi?

Mie najivua gamba, ukija kujificha utafanya nini sasa?
 
MR niaje Mkuu? Mbona unataka kunitafutia kesi?

Mie najivua gamba, ukija kujificha utafanya nini sasa?

Mkuu nawe khaaaaaaaa nitalifua hilo gamba na kulivaa:A S 465::A S 465::A S 465:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom