Yu Wapi Superman?

Yu Wapi Superman?

Maria Roza

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2009
Posts
6,802
Reaction score
1,606
Simwoni mara kwa mara jukwaani . . . .

Yu wapi na anafanya nini?

attachment.php


Pana usalama hapa Wadau?
 
Simwoni mara kwa mara jukwaani . . . .

Yu wapi na anafanya nini?

attachment.php


Pana usalama hapa Wadau?

Mkuu Maria Roza kulikoni?

Mimi mbona niko Mkuu? tuliensesha shindano hapa baada ya Uchaguzi Mkuu la kumtafuta JF Man and Woman of the Year ambavyo walishinda Nyani Ngabu; Acid na Regia.

Kwa sasa niko kajificheni natafakari maisha na Kujivua Gamba.

Respect.
 
Akiona hiyo picha tu utaingia kwenye jukwaa


Umeona eee!

Halafu picha yenyewe . . . . .

Umesoma hiyo Kyupi ilivyoandikwa? Sasa sijui anamaanisha nini? Huku si ni kutafutiana kesi jamani?

Au niaje MR? Roho yako imemdondokea Superman? Mitala unaweza maana mimi naona kama double task ngumu! Ama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom