Yu wapi Q Jay?

Yu wapi Q Jay?

Kugeuka

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
333
Reaction score
225
Habari za jumapili Wanajamvi,nilikua napenda sana nyimbo za huyu jamaa,Q Jay,wakiw na kundi la WAKALI KWANZA,Kwa yeyote anayejua,Yu wapi huyu jamaa?
 
Habari za jumapili Wanajamvi,nilikua napenda sana nyimbo za huyu jamaa,Q Jay,wakiw na kundi la WAKALI KWANZA,Kwa yeyote anayejua,Yu wapi huyu jamaa?
Nasikia Alienda kuoa familia fulani ya dini so wakamwambia achane na mziki aokoke. So àkafanya hivo.

But i miss them. Q Jay, Makàmua, Josyline ni baraà hizi Namba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom