Arch Barrel
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 571
- 1,304
Habari za jumapili wanajamvi.
Natanguliza samahani kwanza kama nitakosea. Pia naomba kukosolewa na kuelimishwa ili nielewe.
Kutoka katika Bibilia Takatifu, maandiko yanasema kwamba Wana wa Israel walitembea kutoka Egypt kwenda Kanan kwa miaka 40.
Umbali kutoka Misri kwenda Kanani ni kati ya kilomita 250 mpaka 300. Hauzidi 300km.
Ilikuwaje wana wa Israel watatumia miaka 40 na walikuwa wakitembea usiku na mchana.