Yu wapi Mama Janeth Magufuli?

Haya ni maswali mtu, unatakiwa uulize baada ya kwenda kwake mara kadhaa na kumkosa na anaokaa nao pia wakawa hawajui yuko wapi?
Sasa unamtafuta kwenye luninga kwa utaratibu upi?!
 
Acha UCHAWA,mama Janeth anauongozi gani kwenye Nchi hii?
Mama Maria huwa anaalikwa kwenye dhifa mbalimbali sababu alikuwa kiongozi wa muasisi wa Taifa,
 
Dah nchi imepoa sana, tulizoea makashikashi huku na kule, full burudani..
 
CCM mmekwisha mpaka Mnataka muanzishe cheo Cha MKE WA MAREHEMU
 
Hiyo familia imelelewa katika makadilio tofauti sana mkuu. Ndiyo maana hata katika kipindi chooote cha uongozi wa Marehemu tangia akiwa waziri hatukuwa tukisikia tambo za watoto wake

NGOMA IKO HUKO MSOGA BABA. MZEE MAMA WATOTO WOTE NI VIONGOZI WA TAIFA
 
Mama kawa mrembo sana mwacheni aendelee kujificha tuuu na mimi naunga mkono maana nina udhaifu kuliko Pascal Mayalla
 
Unamtaka wa nini mke wa marehemu?
 
Dah yawezekana ndo sababu ila tunammis sana Mama janeth

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilivyoona heading nikajua unataka kumstiri mjane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…