Edited
OkayEdited
Hilo nenoMwacheni mama apumzike kama amepata mkubwa mwenzake wa kukata kiu yake mnamtaka kila wakati awe mbele yanl kamera kuuza sura?
TUNAMSHUKURU MUNGU kwa kututendea mambo makuu 17th March 2021.Let her be please
Swali zuri umemulizaNyumbani kwake umekwenda ukamkosa?!
hujawahi kumuona mahakamani?![emoji1787]Hapa anatakiwa zaidi mke wa chairman ufipa tumpe moyo!
Nyuzi Zina vichwa ndiyo maana zinakuja na unazisomaSukuma gang wamefadhaishwa sana na kifo cha mungu wao sasa wamebaki wanaweweseka tu.
Sasa wamejipa kazi ya kuanzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu kila wakati.