Yu wapi Malebo aliyeimbwa na Pastor Munishi?

tunashukuru kwa picha mkuu, nimefurahi sana kuiona hii picha,mtu mwingine anaweza kuiona ni ya kawaida tu,kilichonifurahisha ni kwamba Malebo ana Rafiki wa kweli bwana Munishi kwa miaka mingi,huu ndio urafiki ninaoupenda kuwa nao
Kwenye kundi lao alikuwa Munishi, Malebo na Mrefu. Huyo Mrefu ndio alikuwa balaa mpaka mtaa anapoishi ukapewa jina lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wote walikuwa majambazi na wezi wa kutupwa,munishi,mrefu na malebo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumkumbushe alipe kile alichowaibia wale ndugu zako "Wazaire",Maana waliahidi wakimuona macho/meno yake watayatoa.
Watoto wa sasa watauliza WAZAIRE ni watu gani kutokea wapi.Jina hili nililipenda kwa sababu kuna kijiji nilikuwa naonyeshwa udogoni kipo karibu na Mirereni,basi mi nikawa najua ndo zaire kwenyewe kwa mzee mobutu.
Miaka 2004/2006 alikuwa misheni town mitaa ya Livingstone na Lumumba!
 
Habar wanandugu, Malebo alisha okoka havuti sigara wala hanywi pombe tena. Yupo huku pande za NYARUGUSU anamiliki maduara ya kuchimba dhahabu Kama sikosei ni ma4 , jamaa yupo vzur kimaisha😎😎
Aliya teka kwa nani mzee baba?
 
Malebo yupo na hivi sasa ameshaokoka. Anaishi Kijiji cha Kindi Muyuni, Moshi Vijijini. Mwezi Januari, 2020 Askofu Gwajima alikuwa na Mkutano pale Uwanja wa Memorial Moshi. Malebo pia alikuwepo. Pichani Kulia ni Mch. Faustine Munishi na Kushoto ni Malebo. Picha Imepigwa January, 2020. View attachment 1457463

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom