Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,055
hahaha mkuu mchungaji anaamini malebo kwenda kubaya kulichangiwa na bangi,pombe na tabia za kihuni mfano aliwaibia wa Zaire ma dollarSio yeye ndio alikua anaenda kubaya?
hahaha mkuu mchungaji anaamini malebo kwenda kubaya kulichangiwa na bangi,pombe na tabia za kihuni mfano aliwaibia wa Zaire ma dollarSio yeye ndio alikua anaenda kubaya?
Alimuimbia Tena wimbo mwingine maana Malebo alikubali kuokoka.
Atakuwa anamtumikia Mungu mahala.
Hivi huyu mch Munishi Yuko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha🤣🤣 mkuu hii ni coincidence sasa hivi nimemkumbusha mtu hapo juu kuhusu WazaireTumkumbushe alipe kile alichowaibia wale ndugu zako "Wazaire",Maana waliahidi wakimuona macho/meno yake watayatoa.
Watoto wa sasa watauliza WAZAIRE ni watu gani kutokea wapi.Jina hili nililipenda kwa sababu kuna kijiji nilikuwa naonyeshwa udogoni kipo karibu na Mirereni,basi mi nikawa najua ndo zaire kwenyewe kwa mzee mobutu.
ulichosema ni kweli mkuu,jamaa yupo huko,mara ya mwisho kuona habari zake ilirepotiwa kwamba anataka kuja kugombea urais Bongo miaka ya zamani
watoto wa sasa ni kweli hawawezi kuwajua wazaire hata hapa Congo historia ya Zaire inakufa taratibu Mkuu,Tumkumbushe alipe kile alichowaibia wale ndugu zako "Wazaire",Maana waliahidi wakimuona macho/meno yake watayatoa.
Watoto wa sasa watauliza WAZAIRE ni watu gani kutokea wapi.Jina hili nililipenda kwa sababu kuna kijiji nilikuwa naonyeshwa udogoni kipo karibu na Mirereni,basi mi nikawa najua ndo zaire kwenyewe kwa mzee mobutu.
Mkuu nimesoma hizo lyrics kama namsikia jamaa anaimba,Huu wimbo bora kwangu lyrics zake kidogo
Nakuita Malebo uje kwa Yesu utubu
Yeye ni mwenye huruma atakusamehe kabisa
Jina lako la Malebo litaandikwa mbinguni
Utakuwa kiumbe kipya, ya kale yote tapita
Mkumbuke Mrefu alivyokuwa mbaya
Tangu alipokubali kumpa Yesu maisha
Ameshambadilisha sio Mrefu wa kale
Sasa anahubiri injili yake Mwokozi
Nawajua vizuri Pili na Tatu Pamoja
Walivyokuwa wakali watoto wa mtaani
Sasa wameshaokoka wamechanua vizuri
Wote wameokoka wana watoto nyumbani
Picha yake ya sasa tafadhaliHabar wanandugu, Malebo alisha okoka havuti cgara Wala hanyw pombe tena. Yupo huku pande za NYARUGUSU anamiliki maduara ya kuchimba dhahabu Kama sikosei ni ma4 , jamaa yupo vzur kimaisha😎😎
😢 lini umeenda Congo kijanawatoto wa sasa ni kweli hawawezi kuwajua wazaire hata hapa Congo historia ya Zaire inakufa taratibu Mkuu,
[emoji22] lini umeenda Congo kijana
aliandika vyema sana,ushawishi wa hali ya juu kabisa wa kumshawishi rafiki kuacha njia zake mbaya.Mkuu nimesoma hizo lyrics kama namsikia jamaa anaimba,
Kwa wale wahenga kidogo wa miaka ya 1990 wanamkumbuka Pastor Munishi aliyeimba wimbo maarufu sana unaoitwa Malebo. Najua Jf ni kisima cha watu walioko maeneo mbali mbali. Hivi huyu MALEBO aliyeimbwa katika wimbo huu bado yuko hai? Na kama yuko hai yupo wapi kwa sasa?
View attachment 1457188
😍wow
pia ,malebo aliokoka na mchungaji Munishi aliimba nyimbo ya kuleta mrejesho bahati mbaya nimeisahau jina
aliandika vyema sana,ushawishi wa hali ya juu kabisa wa kumshawishi rafiki kuacha njia zake mbaya.
kwa nini ife,au kuna kitu hakikupendwa nchi ilipokuwa na jina hilo,kwa nn haitiliwi maanani?watoto wa sasa ni kweli hawawezi kuwajua wazaire hata hapa Congo historia ya Zaire inakufa taratibu Mkuu,
Si juzitu hapa ulikuwa moshininaishi Congo muda mwingi,Tz huwa nakaa muda mfupi tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
kwa nini ife,au kuna kitu hakikupendwa nchi ilipokuwa na jina hilo,kwa nn haitiliwi maanani?
Na wewe chanzo cha kujiiita Mobutu ni nini? Au na wewe ni diktetaMobutu alikuwa dikteta mkuu,sasa katika kuleta maendeleo alitesa watu,waandishi wa Habari walitekwa nk ambao baadhi yao ndio viongozi wa sasa wa Congo hivo wanamchukia sana na kwakuwa jina Zaire aliipa nchi yeye basi wakalitoa na Historia yote ya zaire ni Mobutu tu
mfano huyu Rais wa sasa wa Congo bwana Tshisekedi baba yake aliteswa sana na vikosi vya wasiojulikana enzi za Mobutu hivo hawezi kuipenda Historia ya Zaire
Sent from my iPhone using JamiiForums