Yu wapi Malebo aliyeimbwa na Pastor Munishi?

Yu wapi Malebo aliyeimbwa na Pastor Munishi?

Huu wimbo bora kwangu lyrics zake kidogo

Nakuita Malebo uje kwa Yesu utubu
Yeye ni mwenye huruma atakusamehe kabisa
Jina lako la Malebo litaandikwa mbinguni
Utakuwa kiumbe kipya, ya kale yote tapita

Mkumbuke Mrefu alivyokuwa mbaya
Tangu alipokubali kumpa Yesu maisha
Ameshambadilisha sio Mrefu wa kale
Sasa anahubiri injili yake Mwokozi

Nawajua vizuri Pili na Tatu Pamoja
Walivyokuwa wakali watoto wa mtaani
Sasa wameshaokoka wamechanua vizuri
Wote wameokoka wana watoto nyumbani
[emoji119][emoji119][emoji119]umeflow vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha asante! Kipindi hicho nausikiliza kwenye cassette
Hahaha acha tu mkuu
Mimi napenda ule ubeti wa mwisho

Nayajua masikani unakoishi Malebo jiji la daresalama keko ya magulumbati
Na jiji la Nairobi watakupata majengo

Si wote wapole Kama unavyoniona
Pesa zangu menirusha Mimi menyamaza kimya.
Wale wazaire ulowadanganya
Wameapa wakikukuta macho yako tayang'oa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha acha tu mkuu
Mimi napenda ule ubeti wa mwisho

Nayajua masikani unakoishi Malebo jiji la daresalama keko ya magulumbati
Na jiji la Nairobi watakupata majengo

Si wote wapole Kama unavyoniona
Pesa zangu menirusha Mimi menyamaza kimya.
Wale wazaire ulowadanganya
Wameapa wakikukuta macho yako tayang'oa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni keko magulumbasi sio magulumbati

Uko vizuri hongera
 
Jamaa shooting zake kama yuko sebuleni tu. Hana mauno kama kina fulani. Faustin Munish na Apostle Kyande (mnyakyusa na mmchaga) hawa ndio walikuwa wanaimba injili kwelikweli. Walijitahidi kuweka mashairi yenye kuburudisha na kuonya pia. Huo wimbo wa malebo ulikuwa maarufu sana, ila pia kuna stori kuwa Munish alikuwa jambazi la kutupwa na malebo alikuwa mshirika wake mkuu na mpaka jamaa anakubali kuokoka (munish) malebo alikuwa analisongesha. Kuna wimbo ameimba akiwananga CCM kuwa ilianzishwa na nyerere na sasa imezeeka😁😁.
 
Mtafute malebo umuulize mwenyewe...

Kwa wale wahenga kidogo wa miaka ya 1990 wanamkumbuka Pastor Munishi aliyeimba wimbo maarufu sana unaoitwa Malebo. Najua Jf ni kisima cha watu walioko maeneo mbali mbali. Hivi huyu MALEBO aliyeimbwa katika wimbo huu bado yuko hai? Na kama yuko hai yupo wapi kwa sasa?
View attachment 1457188
 
Jamaa shooting zake kama yuko sebuleni tu. Hana mauno kama kina fulani. Faustin Munish na Apostle Kyande (mnyakyusa na mmchaga) hawa ndio walikuwa wanaimba injili kwelikweli. Walijitahidi kuweka mashairi yenye kuburudisha na kuonya pia. Huo wimbo wa malebo ulikuwa maarufu sana, ila pia kuna stori kuwa Munish alikuwa jambazi la kutupwa na malebo alikuwa mshirika wake mkuu na mpaka jamaa anakubali kuokoka (munish) malebo alikuwa analisongesha. Kuna wimbo ameimba akiwananga CCM kuwa ilianzishwa na nyerere na sasa imezeeka[emoji16][emoji16].
Kuna clip alikuwa anaongea kwamba Ccm ni chama cha majambazi,imezeeka itoke madarakani..eti pepo la ccm toka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mobutu alikuwa dikteta mkuu,sasa katika kuleta maendeleo alitesa watu,waandishi wa Habari walitekwa nk ambao baadhi yao ndio viongozi wa sasa wa Congo hivo wanamchukia sana na kwakuwa jina Zaire aliipa nchi yeye basi wakalitoa na Historia yote ya zaire ni Mobutu tu
mfano huyu Rais wa sasa wa Congo bwana Tshisekedi baba yake aliteswa sana na vikosi vya wasiojulikana enzi za Mobutu hivo hawezi kuipenda Historia ya Zaire


Sent from my iPhone using JamiiForums
okay,nmeelewa.tuendelee kuomba amani,makovu ya vita katika nchi yeyote huwa hayafutiki kirahisi,kumbukumbu za ubaya ni mbaya.
 
Malebo yupo na hivi sasa ameshaokoka. Anaishi Kijiji cha Kindi Muyuni, Moshi Vijijini. Mwezi Januari, 2020 Askofu Gwajima alikuwa na Mkutano pale Uwanja wa Memorial Moshi. Malebo pia alikuwepo. Pichani Kulia ni Mch. Faustine Munishi na Kushoto ni Malebo. Picha Imepigwa January, 2020.
FB_IMG_1590230935219.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom