Yu wapi Malebo aliyeimbwa na Pastor Munishi?

Yu wapi Malebo aliyeimbwa na Pastor Munishi?

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,477
Kwa wale wahenga kidogo wa miaka ya 1990 wanamkumbuka Pastor Munishi aliyeimba wimbo maarufu sana unaoitwa Malebo. Najua Jf ni kisima cha watu walioko maeneo mbali mbali. Hivi huyu MALEBO aliyeimbwa katika wimbo huu bado yuko hai? Na kama yuko hai yupo wapi kwa sasa?
 
Habar wanandugu, Malebo alisha okoka havuti sigara wala hanywi pombe tena. Yupo huku pande za NYARUGUSU anamiliki maduara ya kuchimba dhahabu Kama sikosei ni ma4 , jamaa yupo vzur kimaisha😎😎
 
Kwa wale wahenga kidogo wa miaka ya 1990 wanamkumbuka Pastor Munishi aliyeimba wimbo maarufu sana unaoitwa Malebo. Najua Jf ni kisima cha watu walioko maeneo mbali mbali. Hivi huyu MALEBO aliyeimbwa katika wimbo huu bado yuko hai? Na kama yuko hai yupo wapi kwa sasa?
View attachment 1457188
Mwamakulitafuta mwanakulipata na safari hii sio ununio daraja la MKAPA.
 
Kwenye amri 10 sijaiona inayosema "usivute bangi" sasa linakua kosa gani kiimani ukivuta bangi👽 kiasi kwamba kuacha inakua wokovu?
Mkuu kwa mujibu wa mchungaji huyo katika nyimbo yake,Bangi ilienda sambamba na matendo ya ajabu ya malebo yani ilimpeleka kubaya
 
😍wow
pia ,malebo aliokoka na mchungaji Munishi aliimba nyimbo ya kuleta mrejesho bahati mbaya nimeisahau jina
Tumkumbushe alipe kile alichowaibia wale ndugu zako "Wazaire",Maana waliahidi wakimuona macho/meno yake watayatoa.
Watoto wa sasa watauliza WAZAIRE ni watu gani kutokea wapi.Jina hili nililipenda kwa sababu kuna kijiji nilikuwa naonyeshwa udogoni kipo karibu na Mirereni,basi mi nikawa najua ndo zaire kwenyewe kwa mzee mobutu.
 
Back
Top Bottom