Yu wapi Malebo aliyeimbwa na Pastor Munishi?

Nilienda Kibosho kuzika nafkiri ni kibosho umbwe au Kindi..ila unapandia kibosho road that was 2004
Malebo alikuwepo na nikaonyeshwa by that time mkuu alikua strong...very strong! Malebo ni ndugu wa Munishi...naamini ule ukoo wao wana muingiliano lkn pia Malebo alikua jambazi mwenzake na munishi...na Munishi alivyookoka akataka na malebo aache ujambazi ndo ile nyimbo ikatoka
Malebo yupo na hivi sasa ameshaokoka. Anaishi Kijiji cha Kindi Muyuni, Moshi Vijijini. Mwezi Januari, 2020 Askofu Gwajima alikuwa na Mkutano pale Uwanja wa Memorial Moshi. Malebo pia alikuwepo. Pichani Kulia ni Mch. Faustine Munishi na Kushoto ni Malebo. Picha Imepigwa January, 2020. View attachment 1457463

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu yawezekana yale makovu ya munishi ni ya wakati wanapiga deal na kina malebo ?
 
Malebo yupo na hivi sasa ameshaokoka. Anaishi Kijiji cha Kindi Muyuni, Moshi Vijijini. Mwezi Januari, 2020 Askofu Gwajima alikuwa na Mkutano pale Uwanja wa Memorial Moshi. Malebo pia alikuwepo. Pichani Kulia ni Mch. Faustine Munishi na Kushoto ni Malebo. Picha Imepigwa January, 2020. View attachment 1457463

Sent using Jamii Forums mobile app
tunashukuru kwa picha mkuu, nimefurahi sana kuiona hii picha,mtu mwingine anaweza kuiona ni ya kawaida tu,kilichonifurahisha ni kwamba Malebo ana Rafiki wa kweli bwana Munishi kwa miaka mingi,huu ndio urafiki ninaoupenda kuwa nao
 
Kwa wale wahenga kidogo wa miaka ya 1990 wanamkumbuka Pastor Munishi aliyeimba wimbo maarufu sana unaoitwa Malebo. Najua Jf ni kisima cha watu walioko maeneo mbali mbali. Hivi huyu MALEBO aliyeimbwa katika wimbo huu bado yuko hai? Na kama yuko hai yupo wapi kwa sasa?
View attachment 1457188
Yuko Stand kuu ya mjini yanapopaki magari ya Moshi amezeeka lakini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilienda Kibosho kuzika nafkiri ni kibosho umbwe au Kindi..ila unapandia kibosho road that was 2004
Malebo alikuwepo na nikaonyeshwa by that time mkuu alikua strong...very strong! Malebo ni ndugu wa Munishi...naamini ule ukoo wao wana muingiliano lkn pia Malebo alikua jambazi mwenzake na munishi...na Munishi alivyookoka akataka na malebo aache ujambazi ndo ile nyimbo ikatoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kindi hiyo Mkuu,Malebo,Munishi na Mrefu mapacha wa 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom