Katika siku zote za uwaziri mkuu wake, Mh. waziri mkuu mstaafu EL alijisifia kuwa rafiki kipenzi wa kikwete. Mbona afanyi kampeni au anachangia tu kichinichini au yale mapenzi yameishia wapi? Alienda mbali na kusema "hakuna anayeweza kutugombanisha na jk kwani hatukukutana barabarani ila ni shemu nyeti na urafiki wetu ni madhubuti". Mbona anaelekea kumtosa mwenzake? Au yupo busy na kazi za kilaigwanani zaidi?

EL ni waziri mkuu aliyefukuzwa sio msaafu. Alifukuza kwaajili ya kuhujumu uchumi. Kwa hiyo alikuwa mwizi na mzembe kazini. Alipaswa kuchukuliwa hatua zaidi ya kufukuzwa. Alipaswa kushtakiwa. Lakini nani atathubutu hilo wakati ni wote ni walewale? Matumaini yetu watanzania ni serikali ya kuleta mageuzi. CCM wanamtandao mkubwa wa mafisadi marafiki, hivyo kumchukulia hatua mwizi wa mali za umma ni vigumu. Tutegemee nini kama mshika mfuko ni RA, kiongozi wa kuratibu maswala ya uchaguzi ni AK aliyetuhumiwa juzi tu kwa kumiliki Meli iliyokamatwa na nyara za serikali. Hao wote ni wezi. Hao ndiyo viongozi wa CCM. Baada ya kukosa hoja ya kumkwamisha Dr. Slaa wameng'ang'ania tu kwenye maswala yake binafsi-ndoa yake. Hawana hoja nyingine ya kumkamata.
Katika siku zote za uwaziri mkuu wake, Mh. waziri mkuu mstaafu EL alijisifia kuwa rafiki kipenzi wa kikwete. Mbona afanyi kampeni au anachangia tu kichinichini au yale mapenzi yameishia wapi? Alienda mbali na kusema "hakuna anayeweza kutugombanisha na jk kwani hatukukutana barabarani ila ni shemu nyeti na urafiki wetu ni madhubuti". Mbona anaelekea kumtosa mwenzake? Au yupo busy na kazi za kilaigwanani zaidi?
Edward L, si waziri mkuu mstaafu!!!.
kwani wewe hujui kuwa na yeye anajipigia kampeni huko Monduli....
Katika siku zote za uwaziri mkuu wake, Mh. waziri mkuu mstaafu EL alijisifia kuwa rafiki kipenzi wa kikwete. Mbona afanyi kampeni au anachangia tu kichinichini au yale mapenzi yameishia wapi? Alienda mbali na kusema "hakuna anayeweza kutugombanisha na jk kwani hatukukutana barabarani ila ni shemu nyeti na urafiki wetu ni madhubuti". Mbona anaelekea kumtosa mwenzake? Au yupo busy na kazi za kilaigwanani zaidi?
Katika siku zote za uwaziri mkuu wake, Mh. waziri mkuu mstaafu EL alijisifia kuwa rafiki kipenzi wa kikwete. Mbona afanyi kampeni au anachangia tu kichinichini au yale mapenzi yameishia wapi? Alienda mbali na kusema "hakuna anayeweza kutugombanisha na jk kwani hatukukutana barabarani ila ni shemu nyeti na urafiki wetu ni madhubuti". Mbona anaelekea kumtosa mwenzake? Au yupo busy na kazi za kilaigwanani zaidi?
Yup Kigogo!
Ni kweli kabisa yupo "bise" na kampeni!
Kuna mtu wake wa karibu leo kanitonya kuwa ametoa thshs 90M kumsaidia Dr Batilda(Arusha Mjini), ambaye ni rafiki yake wa karibu!
Chunga wewe Unaelewa Mchango wa Lowassa kwa CCM ?kama sio Mzee lowassa CCM ingekuwa makaburi.
Mwanamke akiwezeshwa, anaweza!!!!
Ni dhahiri kabisa mwanamke akiezeshwa anaweza tu ( there is no question about that):smile-big: