Yu Wapi Faiza Fox (FF) jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yu Wapi Faiza Fox (FF) jamani?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Genius, Apr 29, 2012.

 1. The Genius

  The Genius Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inagawa mimi sio member wa siku nyingi, ila nimekuwa nikitembelea sana mitaa hii. Kwa tafsiri nyingine, na mimi ni mgeni-mwenyeji mtaani hapa. Ila kwa muda sasa sijaona posts za FF. Yuko wapi?

  Alikuwa ananifurahisha sana na comments zake. Yeye muda woote alikuwa opposite kwa kila wazo lililokuwa likiletwa hapa. Na kiukweli alikuwa anaimudu sana kazi hiyo. Binafsi mimi nampongeza sana, maana inataka mtu uwe na kifua kweli!
   
 2. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,965
  Likes Received: 1,163
  Trophy Points: 280
  Hupendi kuifikirisha akili yako. Hii ndo kazi ya PM! Mode akikupiga ban kwa kushindwa kutumia jamiiforums apps wala sintashangaa!
   
 3. King2

  King2 JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Amekula LIFE TIME BAN.
   
 4. paty

  paty JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,212
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  BAN inauma jamani , kuna watu kweli pia nawamiss
   
 5. The Genius

  The Genius Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni bahati nzuri kwamba The Genius ni mwelelewa wa mambo mengi. Hana tabia ya kuingia ktk malumbano yasiyokuwa na tija. Hivi kweli wewe umepitia kanuni za matumizi ya JF? Hivi kwa akili yako, unawezaje kuPM mtu ambaye hapatikani kwenye forum? Au, ni kanuni gani inayozuia kuulizia member mwenzetu hadi uombe mod anipige ban? Hivi wewe una majirani kweli?

  You cant be serious, huh!
   
 6. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,019
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hata mie nimemiss
   
 7. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,130
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hata mie nime mmiss sana bana, yeye na Dena Amsi
   
 8. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,272
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  No comment!
   
 9. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,454
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  Anangoja upepo upite
   
 10. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,567
  Likes Received: 10,801
  Trophy Points: 280
  Kwa nini asiende Mwanahalisi? Mwita25, mzee wa kiingereza wapi?
   
 11. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,967
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  She was my HERO. I miss her.
   
 12. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  .....una uhakika na unachokisema...
   
 13. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,056
  Likes Received: 2,052
  Trophy Points: 280
  Dialectic process: synthesis of opposites lead to higher truth. We must learn to accommodate dissenting opinions.
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,093
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Walimchana mwisho akakimbia mwenyewe.
   
 15. G

  Ginner JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Faiza fox kwasasa yupo busy anakijenga chama....
   
Loading...