Senator Hans
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 599
- 377
[emoji106] [emoji106] [emoji106]hapa 2nagawana maujuz acha kubana
[emoji106] [emoji106] [emoji106]hapa 2nagawana maujuz acha kubana
Ulifanikiwa???Mimi nina modem ya airtel single e8231s-1 niliunlock ikafanya kazi vizuri sasa ikawa nimichomeka kwenye pc inaomba update nilipoaupdate imejilock kabisa haiingi laini yoyote sasa nimejaribu nyia kadhaa kuisowngrade haitaki.. Msaada tafadhali