You've been waiting long enough...E153u-1, E153u-2, E173u-1, E173u-2 unlock is ready!!!!!!!!

Mkuu usiingie mkenge ukanunua hiyo mkey ukadhani itafungua modem ya tigo e153 no way by now. hata airtel kwa mkey ni muziki kwasasa.

so far Mkey v5.0.5 inafungua hizi za operator wa india na urusi tu. angalia kwenye red.

Huawei modems [Direct Unlock, R/W NVM]
- Huawei E1732 Customized Firmware 11.126.16.00.356
India Idea
- Huawei E1732 Customized Firmware 11.126.16.01.356 India Idea
- Huawei E1550 Customized Firmware 11.608.14.00.356 India Idea
- Huawei E1550 Customized Firmware 11.609.20.02.356 India Idea
- Huawei E1550 Customized Firmware 11.609.20.03.356 India Idea
- Huawei E153 Customized Firmware 11.609.20.11.356 India Idea
- Huawei E171 Customized Firmware 11.126.15.00.161 Russia Beeline


Mkey v5.0.5 Build: 14.NOV.2011 - GSM-Forum
Mbona hyo e153 nimeunlock tena frsh!!!
 
Mpaka leo mwenzenu nasubiri saolution ya kweli juu ya huawei 173u-1
Mie nimetumia hiyo 1.6 mara 2 tena offline imekubali mpaka leo huwa najiuliza hilo sharti la kutaka uconnect na internet kwanza lina umuhimu gani hasa?,jaribu pia huawei flasher v2 japo kwangu huwa ina stuck mapema tu nikitaka kuset modem iwe kwenye download mode hivyo sijawahi fanikiwa kupitia v2
 
Mie nimetumia hiyo 1.6 mara 2 tena offline imekubali mpaka leo huwa najiuliza hilo sharti la kutaka uconnect na internet kwanza lina umuhimu gani hasa?,jaribu pia huawei flasher v2 japo kwangu huwa ina stuck mapema tu nikitaka kuset modem iwe kwenye download mode hivyo sijawahi fanikiwa kupitia v2
live? naomba nijaribu hiyo ya offline leo.
na firmware si ni ile ile ina kama 8 Mbs hivi?
 
live? naomba nijaribu hiyo ya offline leo.
na firmware si ni ile ile ina kama 8 Mbs hivi?
Yaa jaribu kuipakua huawei flasher 1.6 na firmware ni version hii E1731Update_11.126.15.00.00.B416.( kama modem yako ni E173u-1)
 
sina uhakika sana,kwangu imeandikwa "huawei_flasher_1.6" ukii extract kwenye zip ina KB 456.Sijui ndio hiyo uliyonayo wewe?
Mkuu shida hii ushawahi ipata?
"CHECKING FIRMWARE COMPATIBILITY.......FAIL" na mchhakato unaishia hapo hapo.....
sijafanikiwa.
fail.PNG
 
Nilikuwa sijaicheck vizuri hiyo flasher,kumbe ni hiyo by f3nsis.Nikiangalia picha hapo juu naona kilakitu kiko sawa na error inatokea kwenye firmware compatibility so jaribu kechiki vizuri mkuu,yawezekana una E173u-1 halafu firmware unayoflash ni ya E173u-2.hebu jaribu kufananisha na hizi picha nilizo attach hapa chini uone kama firmware unayotumia ni sahihi mimi yakwangu ni E173u-1
 
Nimetry tena, ikisha connect tu, baada ya kuestablish connection na modem, ina STOP RESPONDING...ndo kamchezo kanaishia hapo....au kwa sababu firmware yake ni version ya juu(11.126.16.04.846) ya hii ninayotaka kuiflash(11.126.15.00.00.B416)?

inawezekana ukazi zip hizo files zako zote ulizotumia (huawei flasher v1.6 na ya v2 pamoja na firmware) nijaribu kutumia huku kwangu?
 
here you go bro.Flasher 1.6 ndo hiyo iliyo nje ya archive,nimekumbuka kurename nikiwa nimesha create link tayari
 
Back
Top Bottom