Youtubers tukutane hapa

Youtubers tukutane hapa

Wakuu kama kuna anae fahamu app nzuri kwa ajili ya editing za faster na slowly, kuweka maneno yanayo pita wakati video ikiplay na mix za haraka haraka za video pamoja na sauti atujuze
kwa simu ni kinemaster ni zaidi ya app
 
Back
Top Bottom