Ahsante mkuuIkija kufikisha vigezo hata kama ina miaka 3 ukiomba na ukawa na sifa wanaruhusu kumonetize hakuna Tatizo.
Mkuu chaneli yako imekidhi vigezo vya monetize..?Mm nimekuza channel yangu kwa mbwinu Moja rahisi sana..
* Kupiga kazi bila kuacha au kukaa muda murefu bila kuzalisha content
Kawaida ya algorithm huwa ina recommends channel ambayo muda mwingi inazalisha content back to back bila kuchoka.
Kwa hiyo nikujitahidi kutengeneza contents za kutosha na kuaploads video mara kwa mara.
Mm binafsi kwa sasa kila siku lazima niapload video 2 mpk 3 kwa siku
Siku nikiwa na muda wa kutosha huwa na tengeneza hadi video kumi
Ili hata siku nikishindwa kuzalisha content basi siwezi shindwa cha kupost.
Nakuhakikishia ukianza kufanya hayo niliyokuambia hakika utayaona mabadiliko makubwa ukilinganisha na awali.
Mungu hakutuumba wavivu sema tunaupandikiza tu.
Asante ngoja tuipakue tutareta mrejesho.Kinemaster pro Apk Download wale waliokuwa nataka kine master pro apk hii hapa
Mkuu ulishapataMkuu natafuta channel ya kununua yenye Subscribers wengi
Ilipata moja tu tena ilikuwa ni nyimbo ya ngwear alichukua beat ya wamarekani huko wakaiona wakaripoti! Kwa hawa wa ndani sijapata hata moja wengine naona ndo wanasapoti!Nimeicheki nimeona ipo vizuri lakini hujakutana na issue ya copyright kwa wingi maana naona nyimbo tofauti za wasanii
Ipo vizuri nimeona subscribers wapo 3K ushajiunga na Google AdSenseIlipata moja tu tena ilikuwa ni nyimbo ya ngwear alichukua beat ya wamarekani huko wakaiona wakaripoti! Kwa hawa wa ndani sijapata hata moja wengine naona ndo wanasapoti!
Masaa ndo bado sana aisee!Ipo vizuri nimeona subscribers wapo 3K ushajiunga na Google AdSense
Ahsante mkuu lakini nafikiria kuiuza tu😅Hapo sawa lakini hongera kwa kufikisha subscribers hao
Ndio tayari.Mkuu chaneli yako imekidhi vigezo vya monetize..?
Hapo lazima usugue gaga kama lady____Ahsante mkuu lakini nafikiria kuiuza tu
Hayo masaa ni moto mwengine!.
Link wapi tukuongeze tu viewers hata tuwili..Ndio tayari.
Ila lazima itakuletea shida baadae kwa sababu... Ya contents refused.Komenti yoyote kuhusu chaneli yangu
Mkuu mpe moyoHapo lazima usugue gaga kama lady____
Hapana mkuu siwezi kumpa moyo coz nitakuwa namdanganyaMkuu mpe moyo