Youtube Trending: Abdukiba 1 na Alikiba 2

Youtube Trending: Abdukiba 1 na Alikiba 2

Mwabhleja

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,369
Reaction score
2,105
Hakika Mungu hakupi unachotaka bali unachostahili.
Kijana machachari kabisa asiye na tambo za maisha binafsi ametibu kiu ya mashabiki zake.
Kupitia wimbo alioshirikishwa na mdogo wake Abdu Kiba uitwao Single unatrend #1 YouTube.

Wakati huo huo wimbo wake Maumivu Per Day ukiwa #2.
Hakika kwa mwanzo mwendelezo huu KINGS MUSIC itasimama na kama Alikiba ana mdogo wake mwingine atoe wimbo ili zitrend 3 za familia moja.
 
umeumia sana mkuu
Msamehe kuna wengine hawajui kutofautisha umbeya na ukweli.
Nadhani tukimshauri [HASHTAG]#Sikomi[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Niache[/HASHTAG] kwamba ndo zinatrend itapendeza zaidi
 
Mzee wa kukimbiza mwizi kimya kimya yooooooooh pop in it
 
Back
Top Bottom