Youtube is banned, uingii bila vpn

Youtube is banned, uingii bila vpn

any way


Siasa zenu we can't enjoy our silent life.

you tube is down leo usiku, na sijui shida nini ila with vpn ipo fresh.

siku njema
NRNE,Wa~ban na VPN, China wame~ban social network karibu zote ila maisha yanaendelea kwa VPN. Mazumbukuku ndo yanafikiri yaki~ban Social network yametukomoa, technology ya VPN ipo mbele zaidi uzwazwa wao.
 
North Korea ya Afrika ya Mashariki, udikteta wa Eritrea wa chama kimoja Tanzania kutangazwa muda si mrefu ikiwa umma hautajitokeza mabarabarani kupinga utawala kandamizi na hatimaye nguvu ya umma kukiondoa cha hiki kongwe dola na kukizika moja kwa moja.
 
Wakifungia na YouTube SI nitakuwa jobless full full

Mkiambiwa No Reforms No Election mjiunge kwa maelfu katika vuguvugu / movement mkakataa mlifikiri hayatawakuta.

Sasa ni wakati wa waTanzania wote kuongia barabarani, kufanya mabadiliko na kukingoa chama hiki kongwe Dola kilichotawala kwa miaka 60.
 
Back
Top Bottom