locust60 Senior Member Oct 1, 2008 101 12 Apr 25, 2009 #1 Wadau naomba kuuliza nipo nchini china kikindi cha nyuma youtube ilikuwa inapatikana kwa sasa ni kama miezi miwili hivi haipatikani,je nitatizo ya computer yangu au nini,naomba mwenye ufahamu na hilo anijuze.
Wadau naomba kuuliza nipo nchini china kikindi cha nyuma youtube ilikuwa inapatikana kwa sasa ni kama miezi miwili hivi haipatikani,je nitatizo ya computer yangu au nini,naomba mwenye ufahamu na hilo anijuze.
Kang JF-Expert Member Jun 24, 2008 5,495 2,252 Apr 25, 2009 #2 Youtube imekua blocked na serikali ya China.
Msanii Platinum Member Jul 4, 2007 22,606 29,755 Apr 25, 2009 #3 angalia wasikulishe vyura wa kihansi huko mkuu