You're not in love with me

You're not in love with me

Pole mkuu. Naunga mkono hoja.

Naomba hiyo sentence hapo juu uibadilishe iendane na lugha ya uzi.

Mwendo wa viebrania tu
Mkuu kwenye hayo mahusiano inaonyesha ulikuwa na wivu sana halafu dizaini kama hukuwa na hela , hukuwa hendisamu na wala hukuwa na six park hivyo ulikuwa unajishtukia tuu ukiona bibie yupo na mtu aliyekuzidi. Japo kikristo kigumu ila nimejitahidi kuelewa.

But the only thing a person can ever really do is keep moving forward...... Take that big leap forward without hesitation, without once looking back. Simply forget the past and forge toward the future.

Kwa huyo ndiyo ishabuma!!!!
 
Sisi wenye six packs, tuna hela na u handsome tunao.. tunaruhusiwa kuchangia hii mada?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom