Your PC run into problem need to restart Mlitatuaje hii shida

PC ikisha anza hilo tatizo hapo kuna mawili hapo yafatilie kwa ukaribu..

1. Jaribu kuirepair windows either kwa kutumia backups au tengeneza bootable pendive kabisa then ufanye kuirepair, ikifeli hii solution the last one fanya kushusha windows na weka mpya achana na pirated download official ISO file kabisa ndiyo uweke..

2. Ki hardware RAM zimeanza ku misbehave jaribu kuzikagua kama bado nzima, sambamba na hilo check HDD (Hapa tatizo linaweza kua zaidi ya 70% nme experience sana hilo tatizo hapa) na kama ukiiwasha inakua nzito kuwaka na kutumia muda mrefu basi badili tu HDD itapona.
Shukrani
 
Wataalamu HDD health vp maana sijajua kama bad or good View attachment 2874024
PXL_20240116_174328313.MP.jpg
 
PC ikisha anza hilo tatizo hapo kuna mawili hapo yafatilie kwa ukaribu..

1. Jaribu kuirepair windows either kwa kutumia backups au tengeneza bootable pendive kabisa then ufanye kuirepair, ikifeli hii solution the last one fanya kushusha windows na weka mpya achana na pirated download official ISO file kabisa ndiyo uweke..

2. Ki hardware RAM zimeanza ku misbehave jaribu kuzikagua kama bado nzima, sambamba na hilo check HDD (Hapa tatizo linaweza kua zaidi ya 70% nme experience sana hilo tatizo hapa) na kama ukiiwasha inakua nzito kuwaka na kutumia muda mrefu basi badili tu HDD itapona.
Tatizo la pc lipo hapo.

1. Abadili windows aweke walau windows 7 au yoyote ambayo ilikuja na PC.

2. RAM imeanza kukorofisha.
 
Back
Top Bottom