Your 'Biggest' Turnoffs In The Opposite Sex?

Hoshea

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,420
Reaction score
3,776
Goodmorning ladies and gentlemen of MMU, how are y'all this sexy morning.

Ok lets get to the point.

What's yo biggest turnoffs to the opposite SEX, yani kipi haswaa ukikiona labda kwa msichana mzuuuri alekuvutia au mkaka HB kinakushusha morale yote, inaweza ikawa tabia yake au mazoea anayo au ndivo anavoongea, akikifanya it tends to turn off ile desire yote you had towards her/ him, hamu yote inakufa palepale despite her/ his beauty, unakuwa hutaki tena kumwona wala ku meet nae while u had a big crush on him/ her.

mimi hapa i get turned off by insultive ladies, wanotukanatukana.

Tell us yours, lets share guys, inakuwa kamsaada eti unakuwa aware somehow u know.
 
Nimebahatika kuto kukutana na hii kitu.. Ila tu kwa kufikirika, mkono wa sweater would be a turnoff for me. Unajua haya mambo yapo ki art zaidi; uwakilishwaji wa hilo jambo. Mfano Hoshea unasema you get turned off by ladies wanao tusi... Naweza opinionate kuwa inawezekana tu hujampata a lady who is ambae ni mtaalam wa kukutukana na ukajikuta wafurahia hayo matusi (watoto wasisome hii post tafadhali), yule ambae ukamuona toka uliko toka kuwa ako decent na wala huwahi msikia katusi toka umfahamu... Then from no where mpo faragha na she sofly tukanaz you in your ear, softly, kama hataki, kama anakupuliza, kama anataka kukung'ata but in a way kama vile she is not even sure nini anasema... Out of curiosity's sake would you still be turned off?
 
mkaka coool na simple,i mean cool na simple anavoongea,story zake , mavazi nk napenda kuku wa kienyeji !
unakuta mkaka kwanza alivovaa tu kalipuuuuka misuti mamoka daaaah! story zake unakuta ni zile za high level kiviiile sometimes ni fix tu yaaani mtu anaongea as if kameza cd damn! nooo siwezi napenda mtu wa pozi huyo kama baby wangu very simple! God bless him!
 
Nimebahatika kuto kukutana na hii kitu.. Ila tu kwa kufikirika, mkono wa sweater would be a turnoff for me. Unajua haya mambo yapo ki art zaidi; uwakilishwaji wa hilo jambo. Mfano Hoshea unasema you get turned off by ladies wanao tusi... Naweza opinionate kuwa inawezekana tu hujampata a lady who is ambae ni mtaalam wa kukutukana na ukajikuta wafurahia hayo matusi (watoto wasisome hii post tafadhali), yule ambae ukamuona toka uliko toka kuwa ako decent na wala huwahi msikia katusi toka umfahamu... Then from no where mpo faragha na she sofly tukanaz you in your ear, softly, kama hataki, kama anakupuliza, kama anataka kukung'ata but in a way kama vile she is not even sure nini anasema... Out of curiosity's sake would you still be turned off?
mkono wa sweta ndo nini dada
miss u biiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiig
 
mkono wa sweta ndo nini dada
miss u biiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiig

Miss you more dearest, You good? Mkono wa sweater ni ambae hajabahatika kupitika mkasi... (ama panga kwa wamasai.. Lol)

Alafu hiki kikombe cha Hoshea... Sijui kwa nini kinanikumbusha @LD
 
Mimi ni pale anapokua MUONGO, inanifanya nisimwamini na kupoteza upendo wangu wote kwake na pia namuona she is not a beauty like first time which i love her.

Mapenzi ni kupendana na kuwekana wazi kwa yale yote yanayotutokea na sio kufichana kwa jambo lolote lile.
Pindi tutawekana wazi itatufanya tuonane wenye kuvutia kila wakati hii itatufanya kuliimarisha penzi letu.
 
Miss you more dearest, You good? Mkono wa sweater ni ambae hajabahatika kupitika mkasi... (ama panga kwa wamasai.. Lol)

Alafu hiki kikombe cha Hoshea... Sijui kwa nini kinanikumbusha @LD
ahaaaaaaa aya bana
 
daah kwenye o cations kama hizo hapo sasa, mazafanta it turns me on and hot Asha, lkn sasa viceversa unakuta umemkanyaga bahati mbaya mpo ndani unasikia boonge la tusi la nguo hadi unashindwa kusonga mbele.
 
akizingua kutumia mpira. namtema hapo hapo nakwenda kuchukua mwingine :A S angry:
 
Goodmorning ladies and gentlemen of MMU, how are y'all this sexy morning.

Ok lets get to the point.

What's yo biggest turnoffs to the opposite SEX, yani kipi haswaa ukikiona labda kwa msichana mzuuuri alekuvutia au mkaka HB kinakushusha morale yote, inaweza ikawa tabia yake au mazoea anayo au ndivo anavoongea, akikifanya it tends to turn off ile desire yote you had towards her/ him, hamu yote inakufa palepale despite her/ his beauty, unakuwa hutaki tena kumwona wala ku meet nae while u had a big crush on him/ her.

mimi hapa i get turned off by insultive ladies, wanotukanatukana.

Tell us yours, lets share guys, inakuwa kamsaada eti unakuwa aware somehow u know.
Kujiproud,majibu ya hovyo,too much speaking na kukosa kujiamini.Hata kama ni handsome aje with that,am extremely turned off.
 
Wanawake wanaonguruma tumbo. Tumbo likinguruma ndiyo mwisho wetu, sipendi kabisa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nimebahatika kuto kukutana na hii kitu.. Ila tu kwa kufikirika, mkono wa sweater would be a turnoff for me. Unajua haya mambo yapo ki art zaidi; uwakilishwaji wa hilo jambo. Mfano Hoshea unasema you get turned off by ladies wanao tusi... Naweza opinionate kuwa inawezekana tu hujampata a lady who is ambae ni mtaalam wa kukutukana na ukajikuta wafurahia hayo matusi (watoto wasisome hii post tafadhali), yule ambae ukamuona toka uliko toka kuwa ako decent na wala huwahi msikia katusi toka umfahamu... Then from no where mpo faragha na she sofly tukanaz you in your ear, softly, kama hataki, kama anakupuliza, kama anataka kukung'ata but in a way kama vile she is not even sure nini anasema... Out of curiosity's sake would you still be turned off?
ahahahaa.Hata arembe vipi mimi matusi au maneno ya matusi ndo ananikera mbaya...big turn off!
 
Daymm, umeni-turn on:becky:

Nimebahatika kuto kukutana na hii kitu.. Ila tu kwa kufikirika, mkono wa sweater would be a turnoff for me. Unajua haya mambo yapo ki art zaidi; uwakilishwaji wa hilo jambo. Mfano Hoshea unasema you get turned off by ladies wanao tusi... Naweza opinionate kuwa inawezekana tu hujampata a lady who is ambae ni mtaalam wa kukutukana na ukajikuta wafurahia hayo matusi (watoto wasisome hii post tafadhali), yule ambae ukamuona toka uliko toka kuwa ako decent na wala huwahi msikia katusi toka umfahamu... Then from no where mpo faragha na she sofly tukanaz you in your ear, softly, kama hataki, kama anakupuliza, kama anataka kukung'ata but in a way kama vile she is not even sure nini anasema... Out of curiosity's sake would you still be turned off?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom