Tulia dawa imwingie kwanzaKiller ni lyrist mzuri na nilitegemea kuona lyrical zaidi kwenye diss yake. Cha ajabu katumia muda mwingi kuchana matusi kuliko kupangilia mashairi.
Hata mbele diss track zipo kawaida kwenye hip hopBifu za kitoto wakiungana watafika mbali na sio kuamini katika Kiki always Diss track hazinaga Nguvu ya kumtoa Mtu kimuziki mainly Tanzania
Hii point inawagusa pia baadhi ya wasanii wakubwa, wafanyie kazi.Lunya angekuwa anaandikiwa mashairi mazuri angekuwa mbali zaidi kwasababu anajua kunata na beat.