We tena mbon,watajua hawajuiOooyyoooooooooo
wajipange kwelii maana hapo bado hawajaungana ngoja ligi ifike mechi ya 5 tu yanga itakuwa nmaWajipange mana kama leo tumejua kuwanyamazisha.
Ni mchezaji anayeongoza kwa dribbling capacity ligi kuu. Tatizo lake ni poor finishing tu.Mimi sina imani kabisa na yacouba sijuagi kwanini
Hua nahisi n mzito sana
Kwangu huyu ndiye mwanaume wa Mechi.
View attachment 1952593Hivi Mohamed Hussein ndo amekaaje jamani. 🤣🤣🤣
Ni matumaini yangu umefunga kitambaa cheusi mkononi chini ya begaKichapo kipo palepale
Kama huamini tupinge
Ewe lwanga kaa nyuma yangu ujifunze namna ya kupiga mpira kama huu,mbele ya mashahidi walotuzunguka
Hii inaitwa no look movementTukisema tutaelewana muwe mnakubali.
View attachment 1952590
yangaaaa nakupenda uwiiiiiiii utaniua jamani yanga
Sasa returns of champion ndiyo imeanza. Naona mkuu leo Hadi Sasa hujaamuka kwa kichapo Cha janaUto mna taarifa?
Mchezaji wa Rivers aliyewafunga kwa Mkapa anaitwa Okwa,Simba wanamtamburisha leo hii kaka yake anaitwa Okwi.
Tabu bado mnayo kwenye ngao ya jamii.
Hivi jana "man of the match" alikuwa nani??!Sasa returns of champion ndiyo imeanza. Naona mkuu leo Hadi Sasa hujaamuka kwa kichapo Cha jana
😂😂😂We tena mbon,watajua hawajui
Mwanzoni tulianza kama kumkataa ila sasa amekuwa moto.Kwangu huyu ndiye mwanaume wa Mechi.
Jana alipumulia mashine.Uyu jana game ilimshinda 😂😂😂 kawekewa wahuni watupu upande wake
Ila hawa kina Djuma wameongeza sana uhai jana kwenye timu.Hii inaitwa no look movement