Professor kipuyuyu
Member
- Feb 11, 2018
- 48
- 63
Ujue sikushangaa Mtani sababu hata tungekuwa ndio sie tumeshiriki Champions league mwaka huu angesema anatujua pia.vyote bora vilivo ndani ya nchi lazima tuvichukue vije vicheze club kubwa Africa mtaniView attachment 1086166
hahaha mtani umejibu kionyonge mpaka nimeona huruma Mimi.Ujue sikushangaa Mtani sababu hata tungekuwa ndio sie tumeshiriki Champions league mwaka huu angesema anatujua pia.
na muona mzee mwenye yanga yakeYANGA NGUVU MOJA
Hahaaa. Huruma ya nini Mtani wakati nje ya hapo najua hata huyo muuliza swali linalohusu Simba asingeliuliza.hahaha mtani umejibu kionyonge mpaka nimeona huruma Mimi.
Najikutaga simpendi tu.na muona mzee mwenye yanga yake
Muahakikishieni ulaji kwenye mfumo wa kampuni, tatizo lenu mwataka mmimmina juu kwa juu wakati alihusika kubeba tofali za jengo lenu pale bwawaniNajikutaga simpendi tu.
Aah. Atajiju na njaa zake Mtani.Muahakikishieni ulaji kwenye mfumo wa kampuni, tatizo lenu mwataka mmimmina juu kwa juu wakati alihusika kubeba tofali za jengo lenu pale bwawani
Simba inajulikana tangia kitambo ujue Shadeeya kwa hiyo nyie pambaneni na hali yenu tu hukoUjue sikushangaa Mtani sababu hata tungekuwa ndio sie tumeshiriki Champions league mwaka huu angesema anatujua pia.
Na kufika Quarter ndio sababu ya kuwajua hakuna lingine.
Tayari ameshafanya yakeView attachment 1086217NI MUDA WA MAKAMBO KUFANYA YAKE LEO ILI NAYE AFIKISHE 16 GOALS.
Saafiii.Tayari ameshafanya yake