Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,325
- 115,329
Hahahaaaa. Huwezi Ama sababu ushabiki kitu ingine. Mi niliwahi kujaribu nikashindwa.
Labda uwe mshabiki wa wasiwasi.
Hahahaaaa. Huwezi Ama sababu ushabiki kitu ingine. Mi niliwahi kujaribu nikashindwa.
Najipendekeza ili j/nne usinisakameHahahaaaa. Huwezi Ama sababu ushabiki kitu ingine. Mi niliwahi kujaribu nikashindwa.
Labda uwe mshabiki wa wasiwasi.
Hahahaaa. Na sio mbali bora umewaza mbali Rafiki.
Utavaa jez rang ipiHahahaaa. Na sio mbali bora umewaza mbali Rafiki.
Najiandaa hapa Mwarabu Koko mie nipate kwenda kuwa support Waarabu wenzangu.
Sitavaa jezi ya rangi yeyote. 😀😀 ila moyoni nitakuwa mshabiki wa Al Ahly.
Kila la heri JKT TanzaniaSitavaa jezi ya rangi yeyote. ila moyoni nitakuwa mshabiki wa Al Ahly.
😂😂😂 jumanne sio mbali ata.
Kila la kheri timu ya Wananchi.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Ya leo ni ya Leo jumanne hamna ajuae atafikajumanne sio mbali ata.
Wacha kuteseka Mtani sababu si kila siku Alhamis. Na ndio sababu hata nyie mlivyocheza na As Vita , Al Ahly mliitakia nguvu moja kheri ya ushindi huku dhahiri mkijijua nyie ni Underdog.Muwe munaangalia Wa kuwatakia Kheri.
Ndala wanaotembelea Bajaji ya Udongo hata uwaombee utakuwa unapaka rangi upepo.
Vipi umeshawachangia? Coz wamefungua Account inaitwa Ombaomba Account.
Hahahaaa. Jitetee tu.
Huwa nacheka sana icho kineno chako. 😀😀
Huwa nakuelewa ila kinanichekesha tu.
Kabisaaa. Hujakosea Mtoto.
Sooooma hiiiyoooooooo.