Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kila la kheri timu ya Wananchi.

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"

Muwe munaangalia Wa kuwatakia Kheri.

Ndala wanaotembelea Bajaji ya Udongo hata uwaombee utakuwa unapaka rangi upepo.

Vipi umeshawachangia? Coz wamefungua Account inaitwa Ombaomba Account.
 
Muwe munaangalia Wa kuwatakia Kheri.

Ndala wanaotembelea Bajaji ya Udongo hata uwaombee utakuwa unapaka rangi upepo.

Vipi umeshawachangia? Coz wamefungua Account inaitwa Ombaomba Account.
Wacha kuteseka Mtani sababu si kila siku Alhamis. Na ndio sababu hata nyie mlivyocheza na As Vita , Al Ahly mliitakia nguvu moja kheri ya ushindi huku dhahiri mkijijua nyie ni Underdog.

Nishaichangia aisee. Vp we tayari ushachanga? 😜😜
 
Similar Discussions

97 Reactions
Reply
Back
Top Bottom