Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,187
- 8,213
Umtazame pia mechi na ihefu kama atacheza vileYule dogo Gustavo ni mtu aisee! Leo kawaweka Dilunga na Morrison mfukon, dah! Inauma ukimwona dogo kama yule anaonyesha mautundu kama yale alafu unarud unawakuta akina Adeyun ndiyo wamepewa mikoba ya timu yani! Sijui Yanga tunafeli wapi!