Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,323
- 115,323
😂😂😂Alipokwisha kusema hayo akatoka akaenda zake.
😂😂😂Alipokwisha kusema hayo akatoka akaenda zake.
Kubana matumizi, watakua nazo.Hizi bukta ni pana sana zinazuia pace
Dah😂😂😂Kubana matumizi, watakua nazo.
Utopolo anaweza kufungwa lakini timu ya Young African Sc haifumgwi na Azam Sc.Utopolo leo mnachezea kichapo kama sio droo!!
Bryson David ni mtanzania?Nunueni byrson David kina CARINHOS mnaibiwa
Oyeeeee.utopolo oyee
Ndiyo MkuuBryson David ni mtanzania?
mkuu mbona kumepoa humu
Daah tunasikitika badomkuu mbona kumepoa humu
poleni kipindi wengine wanaandaa timu nyie mnacheza makida uwanja wa ndegeDaah tunasikitika bado