Hatuko makini sana mbele Match ilipaswa iishe 0:9
Hakika.Hatuko makini sana mbele Match ilipaswa iishe 0:9
Aisee ila hili kundi Wakuu
Sasa utachukuaje ubingwa bila kukutana na timu ngumu?Aisee ila hili kundi Wakuu
Tutapambana Mkuu. Na hii imekuwa kama msimu uliopita kukutana na waarabu watatu.Aisee ila hili kundi Wakuu