Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,561
- 19,059
Tuombe uzima Shadeeya maana tusiandikie mate na wino ungalipo. Nitakua pembeni yako nikiwa tayar kabisa kutoa huduma ya kwanza maana nahisi pressure yako itakua juu muda wote wa mechiSubiria Jumamosi Ses pia nikukaribishe uje ujionee yatakayotokea dhidi ya Zesco.
Hahahaaa hebu niletee hicho kipensi kiwe na rangi nyekundu lakini, maana hata nyie si mliwagomea Voda?Karibu sana baadae nakuletea Kipensi na wewe.
Hii kauli Ses naikumbuka ulishaitamka tangia Mechi na Township Roller na mwisho wa siku mi ndio nilikaribia kukupa huduma ya kwanza. 🤣🤣. Hivyo angalia yasijirudie tu.Tuombe
Tuombe uzima Shadeeya maana tusiandikie mate na wino ungalipo. Nitakua pembeni yako nikiwa tayar kabisa kutoa huduma ya kwanza maana nahisi pressure yako itakua juu muda wote wa mechi
Hahahaaa hebu niletee hicho kipensi kiwe na rangi nyekundu lakini, maana hata nyie si mliwagomea Voda?
Zesco usiwafananishe na Wabotswana ujueHii kauli Ses naikumbuka ulishaitamka tangia Mechi na Township Roller na mwisho wa siku mi ndio nilikaribia kukupa huduma ya kwanza. 🤣🤣. Hivyo angalia yasijirudie tu.
Tuombe uzima Ses ifike Jumamosi tupate kuzijua hizo mbivu na mbichi.Zesco usiwafananishe na Wabotswana ujue
Inshaallah, hujambo lakini mamii?Tuombe uzima Ses ifike Jumamosi tupate kuzijua hizo mbivu na mbichi.
Wanamieleka hao🤣🤣🤣
Hivi huyu moringa anamfanyaje yondan mbona anachekacheka Kama anashikwa manyonyo
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahaHivi huyu moringa anamfanyaje yondan mbona anachekacheka Kama anashikwa manyonyo
😳😳😳Hivi huyu moringa anamfanyaje yondan mbona anachekacheka Kama anashikwa manyonyo
Kwemaaaa!!!Wananchi wenzangu kwema?
Twendeni kesho tukaujazeKwemaaaa!!!
Ushindi leo muhimu,hongereni mnatuwakilisha uwanjaniTwendeni kesho tukaujaze