Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

na Ajibu anasepa free...hili liwape funzo viongozi wa Yanga kufanya improvement ya mikataba ya wachezaji ambao inawaona wana potential... eg...Fei...Gadiel nk
Makambo kasepa?? Maana napata nyepesi nyepesi tu!
 
Bakuli fc karibuni taifa leo kuja kumshuhudia bingwa wa nchi akikipiga dhidi ya Sevilla... Laliga ndani ya Dar es Salaam
 
Jamani wana Yanga wenzangu hebu sogeeni tujadili hawa wanaosajiliwa na Papa Zahera.

Watatusaidia kweli au ndio Papa yuko mbio tu?
 
Hebu tuwache bwana Ses.
Dirisha kubwa la usajili limefunguliwa Shadeeya natamani hata kwa mashabiki ingekua hivyo kwamba ungehamiaga tu Msimbazi ili ujiepushe na pressure na kuhuzunika kila mara kunakoletwa na hayo mapenzi yako kwa timu isiyokua na matumaini ya kushinda kombe lolote

Unajua hii itakusaidia hata kuacha kuhama hama timu kila Simba inapocheza maana Yanga bana mara leo mpo Ndanda, mara Ruvu Shootng, mara Kagera Sugar ma TP Mazembe mara JS Soura mara Al Ahly!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…