Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Bakuli fc karibuni taifa leo kuja kumshuhudia bingwa wa nchi akikipiga dhidi ya Sevilla... Laliga ndani ya Dar es Salaam
 
Jamani wana Yanga wenzangu hebu sogeeni tujadili hawa wanaosajiliwa na Papa Zahera.

Watatusaidia kweli au ndio Papa yuko mbio tu?
 
20190531_132056.jpg

Kuna huyo PATRICK SIBOMANA
 
Hebu tuwache bwana Ses.
Dirisha kubwa la usajili limefunguliwa Shadeeya natamani hata kwa mashabiki ingekua hivyo kwamba ungehamiaga tu Msimbazi ili ujiepushe na pressure na kuhuzunika kila mara kunakoletwa na hayo mapenzi yako kwa timu isiyokua na matumaini ya kushinda kombe lolote

Unajua hii itakusaidia hata kuacha kuhama hama timu kila Simba inapocheza maana Yanga bana mara leo mpo Ndanda, mara Ruvu Shootng, mara Kagera Sugar ma TP Mazembe mara JS Soura mara Al Ahly!
 

Similar Discussions

97 Reactions
Reply
Back
Top Bottom