Young Africans SC v Shaba FC

Young Africans SC v Shaba FC

.......reasoning capacity yako ni ndogo....ktk jibu lake unaona kuna kipi cha ziada hadi uanze kujipendekeza kwa kuandika vitu visivyokuwa na muelekeo.

ha,ha,haa,haaaaa, ndo maana huwa nakuita unisaidie ha,ha,haaaaaaaa.......
 
.......kufika dk. hizi mkiwa 0-0 naona mnapandwa na hasira, let me sign off: labda niwatakie usiku mwema.

Utalala na matokeo yasiyo sahihi, ukiamka utasikia magazetini Yanga yaiua Shaba.
 
Mwe!! hadi sasa 0-0!!!
hiyo tm wamekosea jna au...!!! ni mtibwa nini!!!?
 
Azam TV ni wazuri lakini hawana commentators....

Huyu Twalib Omar ni bure kabisa...Hajui kutangaza mpira...Ushabiki umewajaa mnoo
 
Back
Top Bottom