Young Africans SC v Shaba FC

Young Africans SC v Shaba FC

Why blank post?
attachment.php
 
Dakika 40: Yanga 0-0 Shaba.

Vijana wa Shaba wamebana sana wakijaribu kujijengea heshima.
 
1.d munishi
2.j.abdul
3.e.charles
4.r zahir
5.k yondani
6. J makapu
7.m. Ngono
8.h. Niyo
9. S msuva
10. D mrwanda
11. A. Countinho

Asante Mkuu kwa lineup lakini hapo namba 7 mmh!

HT: Yanga 0-0 Shaba.
 
Robo fainali:
Azam v Mtibwa Sugar
Simba v Taifa Jang'ombe

Mechi nyingine sijazipata.
 
Ikiisha mechi kwa sare au ndala kufungwa usisahau kutupostia matokeo!!
 
Ikiisha mechi kwa sare au ndala kufungwa usisahau kutupostia matokeo!!

Najua mikia mko wengi mkisoma posts zangu, msikonde nitawapa matokeo kama yalivyo, huwa sipindishi maneno wala sipepesi macho na masikio.
 
Back
Top Bottom