Young Africans SC v Shaba FC

Young Africans SC v Shaba FC

Kama unadhani kati ya hao kuna atakayeizuia Yanga umekosea. Ni suala la muda tu na kukamilisha ratiba ili kuitimiza haki yote, kombe la bonanza hili ni letu YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB. Wengine wote ni kenge tu waliojiingiza katika msafara wa mamba.
Kumbuka mtani Shoka bado tunae kwenye msafara huu!!!
 
Sisi ni Mtani Sululu sana huyo mtani jembe atakueleza yatakayompata.

Wewe kweli Yanga damu, maana mnajitoaga ufahamu. Naona hausikii wala kuelewa! Yaani leo hii unajifanya ushasahau mtani jembe, yaani zile 2 - 0 ??
 
Mavi ya kale hayanuki, mla ni mla leo mla jana kala nini? Magoli yenyewe tulifungwa kimiujizamiujiza tu, hata wewe ukiangalia kuna bao gani la maana pale?
 
HII 2015 unahitaji kubadilisha miwani MM
 
Mavi ya kale hayanuki, mla ni mla leo mla jana kala nini? Magoli yenyewe tulifungwa kimiujizamiujiza tu, hata wewe ukiangalia kuna bao gani la maana pale?
Labda useme kuna beki gani wa maana pale kwa yale mabao
 
Bonanza limefikia mtoano, hatuna haja ya kubishaaanaaa! Kaanzishe uzi wa Simba v Taifa Jang'ombe tuanze kuchambua siye. Kila tukikuambia ufungue uzi huwa unasepa, leo anzisha tafadhali tuzungumzie mechi ya leo na majaaliwa ya kocha wa Simba.
 
Back
Top Bottom