Azam TV ni wazuri lakini hawana commentators....
Huyu Twalib Omar ni bure kabisa...Hajui kutangaza mpira...Ushabiki umewajaa mnoo
jamaa wana lugha ya kupondea timu zingine hasa Simba na Yanga, sijui hawajifunzi kwa commentators wa ulaya!!
Azam TV ni wazuri lakini hawana commentators....
Huyu Twalib Omar ni bure kabisa...Hajui kutangaza mpira...Ushabiki umewajaa mnoo
Munawafunga Shaba munajisifu.
Je ni kweli kuwa kuna jamaa katoa kitu golini kwa Yanga ndo eti wakapata goli!
Hamna mechi hapo.
Wazee wa "kugonga nne nne" kipi kimewasibu? Kwanini jana mmepunguza dozi?
Jana ilikuwa siku ya mazoezi tayari kwa mechi ya kesho.
kumbe jana mlikua mazoezini?! asante kwa taarifa.
if wishes were Horses ...............Tulikuwa tunajaribu bunduki za kumteketeza mnyama.
Timu JKU funga hao Yanga katika robo fainali maana ile dozi ya nne mara nne ilikua nguvu ya soda.
Simba timu tandika Taifa Jang'ombe tukutane tuwacharaze.
Haha.. Na iwe hivyo maana nimemiss heading kama
"Yanga yaendeleza uteja kwa Simba Sc"
"Simba hii haijawahi tokea!!"
"Okwi amfukuzisha kazi Pluijm!!" n.k
Tulikuwa tunajaribu bunduki za kumteketeza mnyama.
Azam TV ni wazuri lakini hawana commentators....
Huyu Twalib Omar ni bure kabisa...Hajui kutangaza mpira...Ushabiki umewajaa mnoo
Safari hii anaondoka Kapuno akiwa hata hajagusa ligi kuu. Stay tuned Mkuu utaniambia! Hili bonanza linaondoka na mtu.
Nusu fainali mnakutana na either mtibwa au azam, sijui mtatokea wapi?! Sisi tunamsubiri yoyote fainali ili tumrarue.
Wewe chizi umeibuka leo. Habari ndiyo hiyo.