Young Africans SC v Shaba FC

Young Africans SC v Shaba FC

Simba haitoki kwa Taifa Jang'ombe.

Hayo ya kutoka au kutotoka ni ya kwako, mimi nakwambia Fainali ni Simba na KCCA kama mwaka jana, nyie fungeni magoli mengi tu kwenye preliminary matches ili angalau mpate mfungaji bora.
 
Mqkoye hata zama za YESU wqlikuwepo yuda so usishangaesana wakqinukqjuu yetu
 
Hayo ya kutoka au kutotoka ni ya kwako, mimi nakwambia Fainali ni Simba na KCCA kama mwaka jana, nyie fungeni magoli mengi tu kwenye preliminary matches ili angalau mpate mfungaji bora.

Ngoja ni-save hii post itakayotumika baadaye kama ushahidi dhidi yako.
 
Dakika ya 60: Yanga 0-0 Shaba. Telela, Sherman na Tambwe in. Makapu, Ngassa, Mrwanda out.
 
hivi hii SHABA inacheza Daraja la kumi na ngapi........??????
 
duh! bonge la jibu mwanawane!!!! Usikute aliyeuliza ni lishingw'engw'e!
.......reasoning capacity yako ni ndogo....ktk jibu lake unaona kuna kipi cha ziada hadi uanze kujipendekeza kwa kuandika vitu visivyokuwa na muelekeo.
 
.......reasoning capacity yako ni ndogo....ktk jibu lake unaona kuna kipi cha ziada hadi uanze kujipendekeza kwa kuandika vitu visivyokuwa na muelekeo.

Kwani wewe umeuliza swali la maana hadi upewe jibu la maana?
 
mkuu hata wewe huo mchezo ni wako, tofauti ni kwamba yeye karekodi na wewe hujarekodi.

nakuwile ngosha unyanda uyu, aliniudhi alivyokataa kwenda sudan make nilijua mpira wake unaelekea mwisho. Ulimona lulu ihaha obilutulwa hi benchi, haanzi regularly hii ni dalili mbaya sana kwake!
 
Back
Top Bottom