You wanna chill with Big boys?

You wanna chill with Big boys?

Bonnie and clyde
Bonnieclyde_f.jpg
 
Afrika kusini ya sasa (95% + ya rasilimali zote kumilikiwa na makaburu pamoja na wageni) ilianza mwaka 1994
Ni kweli kabisa lakni hata hivo makaburu ndio wameijenga ile nchi kwa mimi naona sahihi itawaliwe na kaburu sote tunaona nchi nyingi za kiafrika upande wa rasilimali ni wababifu kutunza.
 
Mmeanza kuchanganya Sasa. Sa Escobar atakuwaje kundi Moja na The Che Guevara?
Hitler anakuwaje kundi Moja na Castro?
Mobutu kundi Moja na The fallen Rock Colonel Gadhafi ni kumkosea canali.
 
Mmeanza kuchanganya Sasa. Sa Escobar atakuwaje kundi Moja na The Che Guevara?
Hitler anakuwaje kundi Moja na Castro?
Mobutu kundi Moja na The fallen Rock Colonel Gadhafi ni kumkosea canali.
Huyo Hitler mweke kundi Moja na mwenzie PinnoChet😁
 
Che ameishi sana Tanzania upanga kabla ya kwenda kigoma na Congo
 
Back
Top Bottom