You may Ignore the message but...

You may Ignore the message but...

Invisible

Robot
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,285
Reaction score
8,464
Wakuu,

Wengi wamekumbana na ujumbe huu:
Your browser (browser version) is out of date. It has known security flaws and may not display all features of this and other websites. Learn how to update your browser
Statistics tulizokumbana nazo baada ya kuweka ujumbe huu zimenifanya niandike hapa; asilimia kubwa ya watanzania (au watumiaji wa mitandao hasa JF) bado wanatumia Internet Explorer 6!

Kinachofurahisha kwenye stats ni kuwa wengi (over 300 people!) wamebadilisha browsers zao aidha kwa kuzi-update au kuzibadilisha kabisa from Internet Explorer 6 to Opera or Google Chrome or FireFox.

Tunashauri wale ambao wanaipata JF kwa uzuri kutobadilisha browsers zao lakini wale ambao bado wanakumbana na errors (huenda wamewafahamisha baadhi ya members hapa) watumie browsers nyingine ambazo ni za bure tu. I can recommend FireFox.

You may ignore this message but make sure you update your browser!
 
i saw this jana...........thanks Inv.
 
Na kama unatumia Internet Explorer ya juu zaidi ya hiyo 6...ndiyo inakuwaje?
 
Na kama unatumia Internet Explorer ya juu zaidi ya hiyo 6...ndiyo inakuwaje?
Naamini utakuwa unamaanisha ukiwa unatumia Internet Explorer 8 (si Internet Explorer 7); then hakikisha unafanya update ya browser yako. Nakuwa nachelea kuwashauri watu kutumia IE kwa ujumla maana updates zake huwasumbua wengi; browsers kama Opera na FireFox zinakuwa na updates regularly na hukupa notifications kila mara; bado wengine hu-cancel notifications hizi ingawa ni kwa kuwasaidia wao tena BURE!

Kwa nijuavyo; OS za watu wengi hasa Tanzania (ambako members wengi wa JF ndiko walipo - 67% ya watumiaji wa JF) ni pirated; wakijaribu ku-update OS au IE huwa wanaishia kukumbana na warnings hivyo kulazimika kukaa na pc ambazo ni venerable. Ndio maana mara nyingi ili kutolaumiwa nawashauri kutumia FireFox au Opera au hata Google Chrome badala ya IE.

You may not believe it; wengi walikuwa wanatumia IE 6! Lakini kwa kujua zaidi ubovu wa IE 6 mtu anaweza kusoma hapa:

http://en.wikipedia.org/wiki/Internet_Explorer_8
 
Thanks invisible,nilikuwa natumia 7 nikaupdate kwenda 8 hio jana baada ya kuona hio message,cha ajabu bado napata message..is out of date ni nini nafanya au sifanyi wrong??? :confused3:
 
natumia mozilla firefox 3.6, nimekutana sana na ujumbe huo, nilikuwa naachana nao, kwasasa siupati. Thanks mkuu kwa taarifa. Ilikuwa inaleta taabu kwani ni JF ndiyo ilikuwa inaleta hiyo error.
 
Ndugu Invisible, asante kwa tarifa hiyo lakini ilikua inakwaza sana hasa kama nilikua na uhakika kwamba browser yangu iko up to date.
Pia ilikua nikitumia google chrome hata kufunga hiyo msg siweza na unashindwa ku sign in kabisa. Bila kutoa tarifa kwa mtu kama mimi nilikua nahisi ni link ya spam ama spy ware.

Ni vizuri kwamba umepost thread kutuelimisha.
 
Ooh,ndio maana naona kuna vijumbe vya explorer vinanijia nilikuwa naona vinanisumbua tu..
 
Asante mkuu,
Ujumbe ulikuwa unanijia on and off tangu juzi ila bado sijabadilisha. Leo umetokea once tu tofauti na juzi na jana kila wakati hata niki cancel ulikuwa unatokea tu. Kesho nita update!
 
Kwenye PC kwangu jf is ok. Kwenye mobile bado haijatulia sana haswa kwa kutumia BB, na hivi vi N97 vyote havina full screen hivyo najikuta nikiendelea kulikumbatia lile limche langu la sabuni la E90 la tangu enzi zile.
Thanks kwa update.
 
Wakuu,

Wengi wamekumbana na ujumbe huu:
Your browser (browser version) is out of date. It has known security flaws and may not display all features of this and other websites. Learn how to update your browser
Statistics tulizokumbana nazo baada ya kuweka ujumbe huu zimenifanya niandike hapa; asilimia kubwa ya watanzania (au watumiaji wa mitandao hasa JF) bado wanatumia Internet Explorer 6!

Kinachofurahisha kwenye stats ni kuwa wengi (over 300 people!) wamebadilisha browsers zao aidha kwa kuzi-update au kuzibadilisha kabisa from Internet Explorer 6 to Opera or Google Chrome or FireFox.

Tunashauri wale ambao wanaipata JF kwa uzuri kutobadilisha browsers zao lakini wale ambao bado wanakumbana na errors (huenda wamewafahamisha baadhi ya members hapa) watumie browsers nyingine ambazo ni za bure tu. I can recommend FireFox.

You may ignore this message but make sure you update your browser!

Mkuu,ni kweli kabisa.....ajabu ni kwamba mimi daima hutumia Chrome lakini ilikuwa kila nikigungua JF naupata ujumbe huu....kila nikiupdate browser ujumbe ukawa unajirudia....Nilijaribu kuinstall Chrome upya lakini bado ukawa unaendelea......hiyo ilikuwa usiku...Nilipoamka asubuhi nikakuta PC imestack....nilipojaribu kuirestart ikagoma kabisa kuwaka..........Ikabidi nianze kuiformart upya(thank God huwa siweki files zangu muhimu kwenye C)....Sema ndo hivo kuna masoftware/maprogram kibao nimeyapoteza......Sasa hivi iko pouwa bado nabrowse na Chrome

So watu wasi ignore kivile huo ujumbe,waweza kuwa na madhara kiaina
 
Back
Top Bottom