Decapitator
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 311
- 79
Really damn your very serious
Kama unatokea Tegeta kuja Bunju, na una usafiri wako utapita kituo cha mafuta cha oil com kisha utaacha njia panda ya kwenda Mbeni JKT, 50 M mbele yako upande wa kushoto utaona Bar moja iliyoezekwa kwa makuti ambayo imepangwa kwa zone...kesho kikao hicho cha kamati nami nitahudhulia kwa kuwa kuna mechi ya Arsenal, nikishaangalia mpira ndo narudi nyumbani kujiua! Nitakuwa single,ila kuwa kwangu single haimaanishi sina mtu, ninaye huyu Rose, Mchumba wetu na jamaa ila for mean while nitakuwa nampenda secretly!
Horseshoe Arch vipi ushakufa
Wait, nimesema hadi niangalie mpira wa Arsenal! Halafu hawa Man U wanavyoenda kwa mwendo wa kusua sua, wanaweza kuzidi kuniahirishia kujiua ili nione wanavyoshuka daraja msimu huu kisha nijiue ha ha haaaa!
No wonder wanakushikia bango copy#paste, heheheheee. Mahaba#suicide mbuta nanga!
i think message derived,this words olso touched my heart...i realize your pain to let sameone who loved much to go but wory out life is going on and i hope soon you will find a true love and you can forget all this bad pain keep it on your mind!!
Jamaa kaiiba halafu eti anataka kuanzisha ligi na kunyoosha kidole cha wivu. Wivu utoke wapi kwa mabandiko ya wizi?
kumbe tupo wengi katika haya matatizo,,nimependa sana hii kitu,,naomba niiprint nimpe x gal friend wangu,,,najiuliza kwa nn siku hizi wanaume ndo tunalia kuachwa!!!
bro, hivi ukimpa hii kitu sijui itakuaje, sipati picha, by the way it's the same disaster i also met 2012
Naomba hii kitu itumike kwa wapenzi wanaoachana wangali wakipendana...
Kweli mkuu, so unajiua saa ngapi?
Nikishaangalia mechi ya Arsenal...utakuja kwenye msiba?
Hawa kina Ngabu, Nicas na huyu mhehe wana wivu wa kimapenzi tu waache, na nitafanya uchunguzi nijue wana connection gana na huyu bwana aliyemchukua Rose kisha nijiue ha ha haaa....