brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,301
Af wanaume viumbe wa ajabu sana. Ukiwa nao kwenye mahusiano ukawa unahoji mustakabali wa mahusiano yenu wanakubandika jina eti king'ang'anizi wa ndoa. Ukiamua kuuchuna na kuwa 'mpole' itafika wakati watakwambia umekubali kuchezewa miaka yote sasa hivi unataka akuoe nani. Sijui huwa wanataka tufanye nini....they are unpredictable and so selfish...
yan I agree with you kabisa...these creatures are so selfish..only God knows