You don get urs at 20's, Hesabu we ni looser!

You don get urs at 20's, Hesabu we ni looser!

Mh! Lakini nanyie muwe mnakumbuka mabaya yanayo wahusu! Kuna jamaa yangu alipigwa tukio na mpenzi wake hadi leo siamini kama amemsamehe lakini anacho niambiaga ni USIJE MUAMINI MWANAMKE YEYOTE zaidi ya Mama yako. Alinitisha sana, kuna wanawake Hatari jamani!!! Yani wanaume hatufui dafu hapo.
kumbuka kila binadamu anapande wake wa pili ambao ni unyama sasa huo unyama inategemea kavaa unyama gani ? dont force people to show you the other side of them
 
Mh! Lakini nanyie muwe mnakumbuka mabaya yanayo wahusu! Kuna jamaa yangu alipigwa tukio na mpenzi wake hadi leo siamini kama amemsamehe lakini anacho niambiaga ni USIJE MUAMINI MWANAMKE YEYOTE zaidi ya Mama yako. Alinitisha sana, kuna wanawake Hatari jamani!!! Yani wanaume hatufui dafu hapo.

Aaah wapi....matukio machache wanayofanya wanawake mnayakuza wee.....na ukiona mwanamke anapiga tukio lazima kuna kitu behind the scene....they don not erupt from nowhere lkn mwanaume ye anaona raha kucheza na hisia za mwanamke na haoni aibu....sijui hata waliumbwaje hawa viumbe
 
Maisha hayana formula kabisa.

Yakienda vizuri kwako haimaanishi kwa mwingine yamenyooka
 
opinios are not facts.. anyway mi bado niko kwenye 20's ila sijui nimepatwa au nimepata nachojua nina mtu tunayependana sana ana kazi nina kazi na kanizidi 10 years tunasongesha maisha..

Mmmh wewe si ulisema jamaa anajua kupump tu mengine ni zero
 
Tatizo ni kukariri maisha hayana formula utampata mwenzi at any time cio kukariri
 
True relationship never come frm blue sky,needs time,tolerance, commitment n positive attitude to ur partiner kwamba hata inapotokea amekosea you just experience the pain huku moyoni ukijisemea s/he had good intention but it came as uncertainty.

Actually hii attitude haiji mara moja. Na mtu hua anaanza kujenga huu uwezo from 20s simply because kwa maisha yetu ya kitanzania angalau 20s unaanza kupata uhuru (may be inherently) kutoka kwa wazaz au walezi.

Kwenye early 20s hasa wale wanaokuwa mashuleni na vyuon huu ndo wakati muafaka wa kudefine fate of your life. Hapa unapata exposure ya kuishi na jamii yenye malez,tamaduni mila na mitazamo ya kila mamna.

Hivyo hapa hua ndo hujengeka shape halisi ya vitu mbalimbali ktk msisha na hivyo kuamua maisha na aina ya mtu unaemhitaji. Usipoitumia vema fursa hii,andika wewe ni looser. Maana ukitoka hapo kapa, kwenye mahusiano ujue utakuja kuokoteza kila anaekatiza mbele yako.

Always men and women of values, hutengeneza mstakabali ya penzi lao in 20s. waliokosa utasikia mungu atanipa tu....nani kasema itapewa mke/ mme uzeeni. wengine tunapishana nao mitandaoni humo wanahangaika kutafuta wenza kwa kuwa umri unawatupa mkono.

Najua wale loosers watabisha!

Nabisha
 
Aaah wapi....matukio machache wanayofanya wanawake mnayakuza wee.....na ukiona mwanamke anapiga tukio lazima kuna kitu behind the scene....they don not erupt from nowhere lkn mwanaume ye anaona raha kucheza na hisia za mwanamke na haoni aibu....sijui hata waliumbwaje hawa viumbe

Na wanasifiana kweli wakishachezea hisia za wengine
 
huna utafiti kwenye hili umeandika pumba nyingi
 
Back
Top Bottom