You don get urs at 20's, Hesabu we ni looser!

You don get urs at 20's, Hesabu we ni looser!

Hongera kwa kufanikisha aisee, ila ikitokea umeachwa na uyo (siombei itokee) Usirudie tena ujinga uo kwenye red, penda sana kusuruhisha mambo kimaongezi na mwenzio, kuna wanaume hawakomolewi ama kususiwa namna iyo, nahisi hapo ndio ningekua umenifanyia mimi dah Ingekua ndio bhaaassssssi ushaachika zamani.
all in all Hongera.

I was already fade up on him kwakweli ni kwa neema ya mungu tu....but thanks God
 
U made it mama.....na mimi natafuta kama wako

yeeaah kwakweli kazi ilikuepo shostito lol juz mshahara umetoka mwanaume 1 2 3... mpaka kwangu enhee haya mamaa kuna hili na lile tunapangaje ebu nambie mamangu.... vp nyie mshaingiziwa???? lol...
 
yeeaah kwakweli kazi ilikuepo shostito lol juz mshahara umetoka mwanaume 1 2 3... mpaka kwangu enhee haya mamaa kuna hili na lile tunapangaje ebu nambie mamangu.... vp nyie mshaingiziwa???? lol...

Hahahah...aisee big up sana
 
Face to face....dah nimegeuka msemaji wa mahondaw sasa

hah hah naona now umekua a good summarizer so kama majuz kuleee kwenye Dilemma ulisahau kunadithia the return of osokoni lol..
 
Last edited by a moderator:
Hahahah...aisee big up sana

wanajifanya wajanja sana hawa viumbe but when it comes to wanawake ni kama watoto wadogo kwetu hata wawe wakubwa kiac gan still they are under our control nomata wat..
 
wanajifanya wajanja sana hawa viumbe but when it comes wanawake ni kama watoto wadogo kwetu hata wawe wakubwa kiac gan still they are under our control nomata wat..
I thought you are a woman kumbe i was wrong mmmmhhhhh.
 
Af wanaume viumbe wa ajabu sana. Ukiwa nao kwenye mahusiano ukawa unahoji mustakabali wa mahusiano yenu wanakubandika jina eti king'ang'anizi wa ndoa. Ukiamua kuuchuna na kuwa 'mpole' itafika wakati watakwambia umekubali kuchezewa miaka yote sasa hivi unataka akuoe nani. Sijui huwa wanataka tufanye nini....they are unpredictable and so selfish...

Mapenzi yenyewe ukute ndio kwanza yana wiki sijui mwezi, unaanza kuulizia mustakabali unategemea kitu gani? Kwani unadhani hata wanaume hawapendi kujua mustakabali wa mahusiano? Hakika hata mimi lazima nitoe majibu yasioeleweka, mapenzi huwa yanaonesha muelekeo yenyewe kuwa hapa kuna mwisho mzuri au mbaya. Kuuliza uliza wakati mwingine ni kama kum_pressurize mwenzio kitu ambacho sio kizuri.
 
Back
Top Bottom