You don get urs at 20's, Hesabu we ni looser!

You don get urs at 20's, Hesabu we ni looser!

hili neno 'looser' kama ulivyoliainisha kama lisingekuwepo labda ungekuwa mjadala mzuri tu,anyway suala la kusema kisa hukua au huna uhusiano imara kwenye 20's wewe ni loser mmh inatia mashaka, vinginevyo huko huku 20's+
 
Ww unauliza utaolewa lini ikusaidie nn?

Tulia muda ukifika utajua mustakabali wa mahusiano yako

Na usipofika je? kama unaona sifai niache nichape lapa....
Unaniweka miaka af wakati ukifika unaoa mwingine.....nikikutana na wanaume wengine wananiambia nmeshakuwa mzee ujana nilikula na nani
 
Then ur rltnshp has problms...the future z nt secured u rily nid to tok abt t...if u dnt enjoy t hufanyi kwa mapenzi kutoka moyoni

sitaki kuongelea huko sana... nacho taka kusema ni kwamba wanaume mnamatatizo sana
 
Tatizo kuchanganya uhalisia na uongo. Mwanaume ndio anauwezo wa kujua ataishi na nani mwanamke hajui... kwa nini kwa sababu yeye ndiye anayetoa propasal sasa usipo uliza utajikuta umemridhisha weee alafu anajitapa oooh nimemtia wee nimemchoka... wanaume ninyi ni wabaya sana i real real hate u guys

Kweli kabisa miss chagga..... Yan sijui wameumbwa na mioyo gani hawa viumbe....hawana huruma wala aibu...mxiiiiuuuu...
 
Last edited by a moderator:
Mzee ES

Naona umeishiwa sera kwa upande mwingine. Lazima tuwe na akili ya kutenganisha personal na public life. Kama mtu anataka kuwa na wake wawili, mia mbili, elfu kumi, that's fine. Lakini usiishi eti kwa sababu Clinton, Ed Murphy, JK, nk. eti wana totos kibao. Hapa bongo naona watu wamekalia umalaya badala ya kuangalia ni jinsi gani ya kuisaidia jamii kwa ujumla. Natumaini hii forum ni kwa ajili ya kuelimishana sisi kama wazalendo na pia kusaidia ni jinsi gani ya kutatua matatizo yetu. Siamini ktk karne hii bado watu wanajigamba wakiwa na vimada kila kona ya nchi.

Administrator, wazo langu ni kwamba topic kama hizi za kupotosha jamii zisiruhusiwe katika hii forum.

Mm sijui unapoishia
 
opinios are not facts.. anyway mi bado niko kwenye 20's ila sijui nimepatwa au nimepata nachojua nina mtu tunayependana sana ana kazi nina kazi na kanizidi 10 years tunasongesha maisha..

Mazafanta! Shikamoo mpenzi wangu...
 
Mi nakubaliana na mtoa mada kwa upande fulani. Whether you like it or not but this might be true kuwa wanawake wakifikisha umri fulani hawajawahi kuolewa bac wajue kuolewa kwao ni ndoto, hasa wakifikisha umri kuanzia 30+. Hii ni kwa sababu wanawake hawapropose ndoa ila wanaume. Mwanamke wa umri kuanzia 30+ mara nyingi anaweza kuolewa na mwanaume ambaye ameachana na mkewe au amefiwa na mkewe au aolewe kama mke wa pili au awe mchepuko wa majamaa. Kwa wanaume ng'ombe hazeeki maini hata awe 50's anaweza kuoa kigoli cha 20's.
 
True relationship never come frm blue sky,needs time,tolerance, commitment n positive attitude to ur partiner kwamba hata inapotokea amekosea you just experience the pain huku moyoni ukijisemea s/he had good intention but it came as uncertainty.

Actually hii attitude haiji mara moja. Na mtu hua anaanza kujenga huu uwezo from 20s simply because kwa maisha yetu ya kitanzania angalau 20s unaanza kupata uhuru (may be inherently) kutoka kwa wazaz au walezi.

Kwenye early 20s hasa wale wanaokuwa mashuleni na vyuon huu ndo wakati muafaka wa kudefine fate of your life. Hapa unapata exposure ya kuishi na jamii yenye malez,tamaduni mila na mitazamo ya kila mamna.

Hivyo hapa hua ndo hujengeka shape halisi ya vitu mbalimbali ktk msisha na hivyo kuamua maisha na aina ya mtu unaemhitaji. Usipoitumia vema fursa hii,andika wewe ni looser. Maana ukitoka hapo kapa, kwenye mahusiano ujue utakuja kuokoteza kila anaekatiza mbele yako.

Always men and women of values, hutengeneza mstakabali ya penzi lao in 20s. waliokosa utasikia mungu atanipa tu....nani kasema itapewa mke/ mme uzeeni. wengine tunapishana nao mitandaoni humo wanahangaika kutafuta wenza kwa kuwa umri unawatupa mkono.

Najua wale loosers watabisha!

Nani amekuambia umri ni tatizo? Wewe upo karne ipi? Maisha hayana formula na hakuna muda maalum wa kutafuta mpenzi ila muda wowote 20s,30s,40s,50s,,,unaweza kumpata unayemtaka
 
Tatizo kuchanganya uhalisia na uongo. Mwanaume ndio anauwezo wa kujua ataishi na nani mwanamke hajui... kwa nini kwa sababu yeye ndiye anayetoa propasal sasa usipo uliza utajikuta umemridhisha weee alafu anajitapa oooh nimemtia wee nimemchoka... wanaume ninyi ni wabaya sana i real real hate u guys
please dont hate...coz We will hate U guys too as a result boommm!!!!!!
 
Kweli kabisa miss chagga..... Yan sijui wameumbwa na mioyo gani hawa viumbe....hawana huruma wala aibu...mxiiiiuuuu...

Mh! Lakini nanyie muwe mnakumbuka mabaya yanayo wahusu! Kuna jamaa yangu alipigwa tukio na mpenzi wake hadi leo siamini kama amemsamehe lakini anacho niambiaga ni USIJE MUAMINI MWANAMKE YEYOTE zaidi ya Mama yako. Alinitisha sana, kuna wanawake Hatari jamani!!! Yani wanaume hatufui dafu hapo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom