Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,320
- 185,276
Naona kuna makosa tu ya uchapaji mkuu....ni mwanamke huyu
sure mamy it was a typing error... i meant when it comes TO wanawake... to was missed. asante
Naona kuna makosa tu ya uchapaji mkuu....ni mwanamke huyu
Acha kujitoa ufahamu....kwa hiyo lengo la mapenzi ni kuinjoi sex tu?
miss chagga pole aisee maana hizi comment zako inaonesha kama umewahi kuumizwa.
Pole ya nin tena miss chagga????
Tatizo sio wanaume hawatabiriki tatizo ni la wanawake wenyewe.Anayekupenda kiukweli hapewi nafasi,unatombeka weee kwa asiyenampango nawe.Mweh
Tatizo sio wanaume hawatabiriki tatizo ni la wanawake wenyewe.Anayekupenda kiukweli hapewi nafasi,unatombeka weee kwa asiyenampango nawe.Mweh
Not all Men my Dear Kyekue...
Well, but i love You anyway..... 🙁
U made it mama.....na mimi natafuta kama wako