[emoji1] [emoji1] [emoji1] imenibidi nicheke imenikumbusha mbali na Mimi niliwahi kuwa na mwanaume akawa anafanya ya ajabu kweli nampotezea namsamehe anarudia walah hajali akawa anajiona kidume yeye ni yeye tena, nikawa namvutia kasi na kutafta ushahidi, mbona siku nilivomwacha akajua utani loh kumbe nimeamua kweli, alichanganyikwa had kulazwa akawa halali loh, pole kwa maumivu hayo lohNimevuta pumzi ndeefu, halafu nilikua nimesimama ikabidi nikae chini nimejitonesha kidonda
Nyie viumbe nyie, Mungu Kawapa nguvu za ajabu sana wee acha tu..... Asante nishapoa cariha[emoji1] [emoji1] [emoji1] imenibidi nicheke imenikumbusha mbali na Mimi niliwahi kuwa na mwanaume akawa anafanya ya ajabu kweli nampotezea namsamehe anarudia walah hajali akawa anajiona kidume yeye ni yeye tena, nikawa namvutia kasi na kutafta ushahidi, mbona siku nilivomwacha akajua utani loh kumbe nimeamua kweli, alichanganyikwa had kulazwa akawa halali loh, pole kwa maumivu hayo loh
Sure tunakosea ili tujifunze mkuu.Nimeshapoa mkuu ila makovu bado yapo nikiyaangalia yananikumbushaa nisirudie kosa
[emoji38] [emoji38] [emoji38] kupenda huko hadi kulazwa Mungu aniepushie huo ujinga wallahi.[emoji1] [emoji1] [emoji1] imenibidi nicheke imenikumbusha mbali na Mimi niliwahi kuwa na mwanaume akawa anafanya ya ajabu kweli nampotezea namsamehe anarudia walah hajali akawa anajiona kidume yeye ni yeye tena, nikawa namvutia kasi na kutafta ushahidi, mbona siku nilivomwacha akajua utani loh kumbe nimeamua kweli, alichanganyikwa had kulazwa akawa halali loh, pole kwa maumivu hayo loh
Very true mkuuSure tunakosea ili tujifunze mkuu.
Hahahahaha! Mkuu huyo jamaa akiamua kukaza kidogo tu anaweza kupasha kiporo na bi caro[emoji23] [emoji23] [emoji23] hamgeukagi nyuma wapi ww?? Watu wanajipigia tuu ..yan sahv Hamna msimamo wowote ..(maharage ya mbey)
ππππHahahahaha! Mkuu huyo jamaa akiamua kukaza kidogo tu anaweza kupasha kiporo na bi caro
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo uhalisia huoHahahahaha! Mkuu huyo jamaa akiamua kukaza kidogo tu anaweza kupasha kiporo na bi caro
Hongera sana kwa hilo mkuu
Tatizo nyie hutudharau nakujiona MNA haki ya kutokujali hisia zetu, na sisi huwa tunawavutia tu case na timing, hapo ndipo huumia, loh in short usilotaka kufanyiwa usimtendee mwenzako, love ni kitu kizuri watu wakijaliana hisia zaoNyie viumbe nyie, Mungu Kawapa nguvu za ajabu sana wee acha tu..... Asante nishapoa cariha
Hahaaaa omba yasikukute aisee maana utaomba pooh[emoji38] [emoji38] [emoji38] kupenda huko hadi kulazwa Mungu aniepushie huo ujinga wallahi.
Kweli kabisa cariha, kuna watu wengine wana mapenzi ya kuoneana, kama hapo sasa niligundua mwenzangu alikua ananipenda kufa and I took her for granted! Najuta kwakweliTatizo nyie hutudharau nakujiona MNA haki ya kutokujali hisia zetu, na sisi huwa tunawavutia tu case na timing, hapo ndipo huumia, loh in short usilotaka kufanyiwa usimtendee mwenzako, love ni kitu kizuri watu wakijaliana hisia zao
Na kweli maana nisijifanye Ninja hapa nikaangukia sehemu mbaya bure.Hahaaaa omba yasikukute aisee maana utaomba pooh
πππNa kweli maana nisijifanye Ninja hapa nikaangukia sehemu mbaya bure.
pole mkali uichezea shilingi chooni kama wengine tunavofanya na kujifunza kuttokana na makosa yetu.Niko katika harakati zangu kapita mdada kafanana sana na aliyekua mpenzi wangu, Caroline.
Carol alinipenda kupita maelezo hadi nikajua na nikawa namchukulia poa kwa kumfanyia vituko visivyokwisha na wakati mwingine nisipoomba radhi mie(na nilikua siomuombi radhi) basi huniomba radhi yeye ili yaishe
Kuna siku yalimfika shingoni. Nilikua nimesahau simu yangu nyumbani kwake na akawa ameikagua hasaa, amepitia katika inbox zangu za text msg na pia wasap. Alikipata alicholitafuta, meseji za appointments, jumbe za kusexchatishana na pongezi za kutosha kutoka kwa wanawake wengine kuhusiana na miyadi tuliyotoka kuitimiza kuvunja amri fulani nadhani ni namba 6.
Japo alikua mwanamke mzuri, mpole mkimya na mstaarabu sana, lakini siku hiyo aliongea akaongea na kuongea kama mtu aliyepagawa akinikumbusha mambo mengi mazuri aliyonifanyia na mwisho wake akanambia "Sesten unapovuka hicho kizingiti hapo cha mlango wa nyumba hii naomba nisikuone tena maishani mwangu na futa kabisa namba zangu usinitafute maishani mwako". Aliposema hivyo akawa amefungua mlango nitoke namimi taratiiibu nikawa natoka nje sikuweza kujitetea kwa lolote maana vitu vilikua wazi kabisaa
Nilipofika mlangoni ile nataka kuinua mguu nitoke nje akaniita tena na kuniambia,"Sesten, kweli unaondoka! You can not even say sorry! You can't fight for this love! Really!" Yaliendelea mambo machache lakini huwezi amini baada ya muda kidogo ikawa mimi ndio naombwa radhi na maisha yakaendelea
Siku ya siku nipozangu safarini napigiwa simu na jamaa zangu kua sweetheart wangu Caroline anaolewa na send off ni kama wiki ijao hivi! Ilikua zamu yangu kuchanganyikiwa,niliumia hasa kikomo cha kuumia. Nikijiuliza imekuaje na kwanini. Juhudi zangu za kuzuia asiolewe ziligonga mwamba na sasa ni mke wamtu ila maumivu niliyoyapata siwezi kusahau maisha yangu yote! Ama kweli thamani ya kitu utaijua kitakapokuponyoka. Natumaini Carol(mama Suzan kwa sasa) waendelea uzuri huko ulipo na yaliyonikuta ni KARMA, what goes around comes around
Ila hii kauli YOU CAN'T FIGHT FOR THIS LOVE NITAIKUMBUKA SANA
Asante mkuu bahati mbaya bahati kama hizi hua hazirudi mbara mbili, chunga sana uliyenaye asikuponyoke mkuupole mkali uichezea shilingi chooni kama wengine tunavofanya na kujifunza kuttokana na makosa yetu.
Hongera mume wa Carol ...Mimi ndie nimemuoa Carol na Mungu ametujaalia tumepata kitoto chetu "suzan" kirembo kama mama yake