Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,232
Ha ha ha ha, yaani nimejikuta nimecheka haZaraniHahaha bora uneona kuwa si bure.. Kongosho anahitaji kuzungumza na wewe nadhani....
Asante babu, endelea kutuleaHaiwezekani aisee.....
Yaaani nijipige RIP eti mtaelea wajukuu zangu....
No, please...!!
Babu DC!!
Alishashindwa masharti kwa sababu ya evil intentions....
Nimwambia aombe ruhusa kwa Bibi DC akashindwa....
Labda kama unataka kumsaidia...Ila utakuwa na hakika kwamba hiyo roho ya jinai imekatika??
Babu DC!!
Kaizer mbaya sana
Eti anaomba P.O Box ya bibi ili awasiliane naye