You can tell a person's character by the phone they use:

You can tell a person's character by the phone they use:

What did u just say about us?
 
Last edited by a moderator:
CC Dark City mkuu mwenzangu "mkubwa hapangwi" hebu come zis way....

Umeshaaandaa mchango wa rambi rambi?

Na wajukuu za babu utawalea wewe kweli??

Huyo Kongosho achana naye...ana Zombie wake wanatanua kama vile dunia haitakaa iishe...

Mie naendelea kuguguna pension yangu..lol!!

Babu DC!!
 
CC Dark City mkuu mwenzangu "mkubwa hapangwi" hebu come zis way....
Kweli umbea hauna posho, aliyekuambia umwite nani?

Umeshaaandaa mchango wa rambi rambi?

Na wajukuu za babu utawalea wewe kweli??

Huyo Kongosho achana naye...ana Zombie wake wanatanua kama vile dunia haitakaa iishe...

Mie naendelea kuguguna pension yangu..lol!!

Babu DC!!

SHikamoo babu(salamu isikutishe)

Kaizer na Kongosho mnaongelea nini hapa? maana hata siwaelewi, nani anamlia timing nani?
Umbea hauna posho

Hata sijui kaizer anaongelea nini
Ila namsikia anakutaja wewe mara umekula timing, so confusing
 
Ndiyo maana nikasema kuwa wanahitaji kupewa somo la jinsi ya kudeal na watu wazima, tena wale wa 1947...

Nahofia kwamba wanakoenda hata wenyewe hawapajui..lol!

Babu DC!
umeona eeeh!
ila itabidi tuwasaidie wasije wakapotea zaidi, maana kama walivyosema hata wenyewe hawajui lolote......
 
Hahaha bora uneona kuwa si bure.. Kongosho anahitaji kuzungumza na wewe nadhani....

Alishashindwa masharti kwa sababu ya evil intentions....

Nimwambia aombe ruhusa kwa Bibi DC akashindwa....

Labda kama unataka kumsaidia...Ila utakuwa na hakika kwamba hiyo roho ya jinai imekatika??

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom